MLIMBWENDE mtata Bongo, Jacqueline Patrick, kama kawa, amedondosha picha nyingine chafu kwenye ‘peji’ yake ya mtandao wa BBM.
Jack
ambaye ni mke wa mfanyabiashara Abdulatif Fundikira alitupia picha
hizo Julai 25, mwaka huu huku akizisindikizia na ujumbe usemao ‘sina
tatizo na mtu na mwenye macho haambiwi tazama.’
Picha
hizo zimezua maswali mengi kwa watu wake wa karibu ambao wengi ni
waumini wa dini ya kisilam ambao kwa mwezi huu wapo ndani ya swaumu.
Wengi
walihoji nini kilimfanya staa huyo kuweka picha hizo chafu sana zenye
kumwonesha kila kitu huku akiwa ameolewa kwa ndoa! “Au yuko sokoni
zaidi?” alihoji mdau wake mmoja.
Jack
bila kujali hilo aliendelea kuanika picha hizo kwa kubadilisha moja
baada ya nyingine kulingana na mapozi aliyotaka mwenyewe
ANGALIA ZAIDI. BOFYA HAPO CHINI
ANGALIA ZAIDI. BOFYA HAPO CHINI
Source: Vituko vya Mtaa
No comments:
Post a Comment