INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

OUTING

UZINDUZI WA ALBUM YA COMMEDIAN EMANUEL MGAYA (MASANJA MKANDAMIZAJI) - IRINGA MWEZI Julai 2012
Ray akisalimia wakazi wa Iringa



Masanja Mkandamizaji na gwaride lake wakiingia jukwaani

Waimbaji wakiwa pamoja na Masanja Mkandamizaji aliyeshika ubao kama alama ya bunduki

NIKIWA TANGA












KAMPUNI YA DULUX YAMWALIKA MKE WA RAISI TANZANIA MAMA SALMA KIKWETE KATIKA KIJIJI CHA SOS DAR ES SALAAM

23 June 2012


Mke wa rais Mama Salma Kikwete alijiunga na wafanyakazi wa kiwanda cha Sadolin Paint (ambacho ndicho kilichozindua rangi bora ulimwenguni ya DULUX hapa Tanzania), pamoja na wanajamii wote, wageni waheshimiwa, maofisa wa serikalini, waalikwa wakijumuika na watoto wa kijiji cha SOS
Lengo kubwa lilikuwa ni kupaka rangi za kung’ara na kubadilisha hali ya rangi iliyokuwa ukungu na chafu.. Watoto hawakuishia kupaka rangi ya kuta bali walipaka na sura zao. Kulikuwa na DJ na watoto walipata muda wa kuimba nyimbo zao.
Mama Salma Kikwete alishirikiana katika shufghuli nzima ya upakaji rangi, kupanda mti wa kumbukumbu na kuwashukuru waandaji.
Mkurugenzi wa DULUX, Dr. Alex Lengeju alimshukuru Mama Salma Kikwete na muwakilishi mwigizaji wa filamu Tanzania, Jennifer Kyaka (Odama) kwa kazi nzima walioifanya na watoto wa kijiji cha SOS
Kituo cha chekechea cha kijiji cha SOS ndicho kilichobahatika kuwa cha kwanza kupata huduma hii.

NB: DULUX ni rangi murua ya Akzonobel na inapatikana katika nchi nyingi kama 26 na mabara kama Ulaya, Amerika Kaskazini, Latini Amerika, Asia na Afrika. Makao makuu yako Slough Uingereza
Madhumuni ya kampuni hii ni kubadilisha mazingira machafukwa rangi za kung’ara.
Kitu pia kupanga kwa pamoja furaha na huzuni katika kufanya utofauti katika maisha ya watoto.
Odama: akielekea Kijiji cha SOS

Leo ni leo rafiki yangu, Mama Salma Kikwete na Odama LIVE kijijini kwetu...Mbona tunabahati!!!!.
Tulia nikupendezeshe, utapata zawadi kwa wageni wetu hapa kijijini

Mwana naomba utulie kabla ya kuanza kupaka rangi ukutani ngoja tuanze na nyinyi kwa usoni kama mfano.






USIKU WA ZIFF NA WADAU NDANI YA 
SLIPWAY HOTEL
Mapozi
Mashostito
Picha ya pamoja baada ya show

WASANII WALIVYOJIACHIA NYUMBANI LOUNGE KATIKA KILL TZ 100% FLAVA

Ndani ya nyumbani Lounge Wasanii na Wadau mbalimbali hapa nchini walijiachia katika Kill 100% flava.Kilimanjaro waliandaa shughuli hiyo kwa kuwaalika watu mbalimbali. kuja kusapoti program hiyo ya kukuza na kuendeleza utalii wa ndani.Hakika watu walifurahi kwani ndani ya nyumbani lounge mambo yalikuwa ni Kili baridi,kill moto huku machozi band ikiendelea kupiga burudani ya nguvu,

Nikiwa na shostito wangu Rachel


Mapozi hayo

UZINDUZI WA FILAMU YA MWALIMU NYERERE

Ile Filamu ya Mwalimu Nyerere iliyoshutiwa Butiama sasa inapatikana rasmi madukani baada ya kuzinduliwa rasmi katika kituo cha watoto yatima kinondoni hananasifu.Akiongea Steve Nyerere kwa niaba ya kampuni yake ya Nyerere the power amesema kuwa ameamua kufanya uzinduzi kwa watoto yatima kwa kutoa misaada ili amuenzi Mwalimu Nyerere.Nayo kampuni ya Steps Entertainment ambao ndio wasambazaji wakuu wa kazi hiyo wamesema walimkubalia steve kwa wazo lake hilo kwani jema katika jamii.Steve pia ametoa ahadi ya kusomesha watoto wawili kuanzia la kwanza mpaka la saba.hongera sana steve kwa kuwakumbuka watoto yatima.

Steve akiwa na watoto yatima wa kituo cha Mayunga kinondoni
Tambara la Mwalimu nyerere
Wasanii waliomsindikiza steve kutoa msaada
Shughuli ikiendelea


Misaada
SAFARI YANGU YA DODOMA BUNGENI (MJENGONI)-2011











1 comment:

  1. Lazima uwe Mbuge Kyaka..Umempendeza sana

    ReplyDelete