No doubt Comedy is nowadays doing good here in Tanzania.
Kufuatia hili singer wa “Ninachotaka“, “Alcohol” ambaye pia signs zake ziko kwenye movies za “Green Light” na “Crazy Love” is read to team up with Gelly wa Rhymes to do comedy.
Hemedy Suleiman aka Pretty Huge Dude, ambaye ni movie star ataungana na Gelly whose real name is George ambaye ni hit maker wa nyimbo za “Kikuku“, “I Love You” na “Barafu wa Moyo Wangu” kuingia location kwa ajili ya ku-shoot a their first romantic comedy movie to be called “Two Idiots“.
“Ni kweli mimi na PHD tuko tayari kufanya movie ya comedy
ambayo roughly ita-cost seven million kuitengeneza chini ya E Media
Company“- Gelly wa Rhymes told BK.
Hemedy alipoulizwa utofauti wa movie hiyo yao ya comedy na comedy nyingine zilizopo hapa nchini this is what he said, “Wengi
wamekuwa wakidhani kuwa comedy ni kukunya sura na kuanza kuigiza, but
sisi tutatupia romantic issues na bado watu wacheke bila kulazimishwa“.
“Project hii haitaishia hapa kwani baada ya Two Idiots
tuna mipango ya kuanza kuvuka borders na kwenda kutafuta comedians wa
kimataifa ili kuipeleka sector hii anga a mbele zaidi“-Hemedy.