INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, January 29, 2013

COMING SOON MOVIE "PAINKILLER"

Ndugu wadau wa movie zinazoandaliwa na kampuni ya J-Film 4 Life tunakuletea baadhi ya matokeo yaliyojiri katika utayarishaji wa movie inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni kwa jina la "PAINKILLER"..... Hakika ni movie yenye kufundisha, kuelimisha na yenye kisa cha kusisimua, huku ikiwa na mjumuisho wa mastaa wakali kama Odama, Hemed Suleiman, Chilo, Jengua, Cathy, Riyama na wengine wengi,,,, Hakikisha hukosi nakala yako!!!!

Director "Lamata".....

Jeniffer Kyaka nikipitia Script..........


Director Lamata akitoa maelekezo.......



Cameraman Farid Uwezo akifanya setting.......


Ashura "make up artist" akimuandaa Riyama........


Riyama Ali & Odama (producer/actress).......



Jeniffer Kyaka & Riyama.........



Boom miker, Cameraman & Director.......



Hemed Suleiman & I tukiwa tunajiandaa kushoot.........



Hapa shooting ikiendelea.........



PM (Amrick) pichani na Mzee Chilo........



Mzee Chilo na Hemed Suleiman katika pozi la pamoja.......


Cathy Rupia & I........

PHD akipitia Script akiwa na Jengua......


Ashura akiwajibika katika kitengo chake cha make up..........



J-Film 4 Life kwenye pozi matata.......



Jengua na Cathy wakiwa mzigoni kama ifuatavyo..........



Maelekezo ni muhim katika kila nyanja, na huyu ndiye Director akifanya yake.........



Transporter "Zungu" akiwa na Make up artist..........


The Big Boss (Odama) na Farid Uwezo kwenye pozi..........


Tukiendelea kufanya yetu.............



PHD & I kwenye scene ya majuto na huzuni........



Crew ikiwa makini kabisa kuhakiki mambo yanaenda sawa..........



Na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa yakiendelea kwenye scene ya majutio........



Cameraman "Malik"........



Shikunzi alicheza kama wakili hapa akiwa mahakamani.........



Hawa ndio wafuatiliaji wa kesi ndani ya movie yetu...........



Chef akiandaa maakuli...........



Director akifuatilia mambo yasiende kombo kwa umakini............



Mzee Katembo alikuwa ni Judge ndani ya movie yetu hapa akiwa anasikiliza kesi.......



PHD na Kiuno ambaye alicheza kama askari................



Boom miker "Abdul".........



Ali Yakuti (wakili) akimuuliza maswali Jengua mahakamani................



Wafuatiliaji kesi kama waonekanavyo............



Muda wa maakuli uliwadia.........



Muda wa maakuli ukiendelea...........



Setting ya scene ya mahakamani kama ionekanavyo.........



Wafuatiliaji wa kesi mahakamani...........



Jengua na Yakuti nje ya mahakama..........



Yakuti & Cathy.........