CREW
2015 Calendar
FILMS
FILMS 2
ADVERTS
Pages
HOME
OUTING
MY MOVIES
OTHER MOVIES
BEHIND THE SCENE
ODAMA NA MWANAE JASON
MY PROJECTS
R.I.P STEVEN KANUMBA
CONTACTS
MY PROFILE
J-FILM 4 LIFE
AWARDS
INVITATION
LOCATIONS
INTERVIEWS
MAZISHI YA MAREHEMU ROSE THOMAS WA BONGO MOVIE
MY PHOTO GALLERY
J-FILM 4 LIFE CREW
INSIDE INAPATIKANA MADUKANI
FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015
JADA IPO SOKONI
Tuesday, April 9, 2013
MDAU WA FILAMU ZA KIBONGO "DYNESS" ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA!!!!!
Mdau wa filamu za Bongo Tanzania Dyness Kavishe asherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya Pub ya kisasa ya Kinyaiya;s Pub........!!!! Na hayo hapo chini ni baadhi tu ya yaliyojiri.....!!!!!!!!
Monday, April 8, 2013
KUMBUKUMBU YA KUTIMIZA MWAKA MMOJA TANGU KIFO CHA KANUMBA.......!!!!!!!
Familia ya marehem Steven Charles Kanumba, Wasanii na wadau wote wa filamu wamefanya kumbukumbu ya kumuenzi Kanumba kwa kutimiza mwaka mmoja tangu kifo chake.....!!!!!
Kanumba.....!!!
Rachel & I tukijiandaa kuelekea kanisani......
Bongo Movie tukiwa tunajiandaa kwa msafara wa kwenda kanisani kwa misa.....!!!!
Mama Loraa na waumini wengine katika misa......
Seth Bosco (mdogo wa kanumba) Akiwa kwenye misa......
Wasanii wakiwa kwenye misa.....
JB, Hartman & Saguda........
Farida Sabu, Sandra..........
Location Manager Kiuno na wadau katika misa.......
Waumini waliofika katika misa kama waonekanavyo........
Mapadri wakiendelea kusoma misa......
Elizabeth Michael(Lulu) na mama Kanumba katika misa.........
Seth katika sala.......
Odama na Hartman wakienda kutoa sadaka.....
Jackline Wolper........
Mayasa Mrisho.......
Rachel Haule & Jennifer Kyaka........
Mr. Chilo & Jokate.........
Wasanii wakiwa kanisani.......
Hissan Muya, Vicent Kigosi & Kupa...........
Cheni na Chopa......
Wasanii kutoka Ghana wakiwa na aliyekuwa meneja wa Kanumba (Mr. Richard) nao walikuwepo.......
Wasanii wa Bongo Movie wakisikiliza jambo kwa umakini......
Hartman akisalimiana na wageni........
Steve Nyerere akisalimiana na wageni kutoka Ghana......
Tiko & Marry.......
Cloud 112 akipeana mikono na wageni.........
Jacob Steven na Irene Uwoya kwenye sura za furaha........
Rais wa shirikisho la filamu akiwatambulisha wageni........
Wasanii wakipita kwenye meza ya chakula........
Cathy, Farida Sabu & JB.........
Mama wa kaole Bi. Mwenda nae alikuwemo.......
Mama Loraa na Jimmy Mafufu..........
Johari kwenye meza ya chakula........
Anitha wa Matonya huyo.........
Chopa na Tikoh........
Tikoh.......
Hissan Muya.........
Idrisa Makupa.........
Vicent Kigosi na Kabuti.......
Mastaa wa Bongo Movie katika picha ya pamoja na wageni wa Ghana.......
Richard & I........
Mie na Johari katika pozi na wageni.......
Simon Mwakifamba akihojiwa na waandishi wa habari wa TBC.....
Mmoja wa wageni akifanya sala katika kaburi la Kanumba......
Wageni wakifanya sala ya pamoja na mama Kanumba makaburini.....
Majonzi.......
Elizabeth Michael akihojiwa pembeni ni mama Kanumba.......
Lulu & Mama Kanumba.......
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)