INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, May 31, 2015

Photos Toka Kwenye Red Carpet Ya Tanzania Film Awards 2015.

Tuza za Tanzania Film Awards(TAFA) kwa mara ya kwanza zilifanyika weekend iliyopita katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Conference Hall, Dar es salaam. Hizi ni baadhi ya picha za mastaa kwenye red carpet...........

Picha: Odama Andaa Misa Maalum Ya Kumbukumbu Ya Rachel Haule Mwaka Mmoja Tangu Afariki Dunia.

Juzi aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule alitimiza mwaka mmoja tangu afariki dunia mwaka jana. Mmiliki wa JFilm 4 Life Odama Jennifer Kyaka ambaye alikuwa rafiki wa karibu sana wa Rachel na pia walishafanya filamu kadhaa pamoja aliamua kuandaa misa maalum ya kumbukumbu ya Rachel. Odama aliandaa kumbukumbu hiyo kwa ushirikiano wa karibu na aliyekuwa mume wa Rachel na wasanii wenzake kadhaa waliohudria wakiwemo Johari, Davina, Cathy Rupia, Neema Wa 20%, Herieth Chumila na wasanii wengineo. Hizi ni picha toka kwenye tukio hilo...........