Shindano la kusaka vipaji vya waimbaji wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Star Search limemalizika huko kijana mdogo toka Temeke Kayumba Juma akijinyakulia zawadi ya kitita cha Tsh.Mil.60. Shindano hilo lilikuwa na ushindani mkali akiwemo Naseeb Fonabo toka Arusha aliyeshika nafasi ya pili ambapo yeye na Kayumba walionyesha uwezo mkubwa tangu awali.
CREW
2015 Calendar
FILMS
FILMS 2
ADVERTS
INSIDE INAPATIKANA MADUKANI
FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015
JADA IPO SOKONI
Monday, October 12, 2015
Thursday, October 8, 2015
Shamsa Ford Amuacha Mtoto Kwa Bibi Yake Ili Kufanya Kampeni
MTOTO wa staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford aitwaye Terry, analelewa na mama yake mzazi wakati yeye akiwa bize na kampeni kuelekea uchaguzi mkuu.
Shamsa akithibitisha jambo hilo, aliliambia gazeti hili kuwa amelazimika kumuacha mwanaye kwa bibi yake ili aende na kasi ya kampeni, lakini hujitahidi kuzungumza naye kwa simu kila siku ili kumfanya ajisikie vizuri.
Bonge La Nyau Adatishwa Na Uzuri Wa Irene Paul.
Urembo na uchapakazi wa mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu, Irene Paul umemdatisha msanii wa muziki, Bonge La Nyau aka Nyauloso.
Nyauloso ameiambia Nje ya Box ya kipindi cha Planet Bongo cha EATV, kuwa anatadishwa mno na miondoko ya mwanadada huyo.
Tuesday, October 6, 2015
Filamu Zinalipa Kuliko Siasa
MKURUGENZI wa Jerusalem Film Company, Jacob Stephen ‘JB’ ameweka wazi kuwa kamwe hafikirii kuwa mwanasiasa kwani sanaa inamlipa zaidi.
Akizungumza na mwanahabari wetu katika mahojiano mafupi, JB alisema kipindi cha nyuma ziliibuka tetesi kuwa huenda anaweza kuwa mwanasiasa lakini ukweli kutoka moyoni, sanaa inamlipa.
Honeymoon Aljabri Afanya Filamu Nchini Marekani.
MWONGOZAJI bora wa filamu mwenye tuzo ya ZIFF 2015, Honeymoon Aljabri, yupo mbioni kukamilisha filamu yake ya pili ya ‘Forgotten Hero’ mwishoni mwa mwaka huu.
Mwongozaji huyo Mtanzania anayeishi Houston, Marekani, aliliambia MTANZANIA kwamba ameandika na kuiongoza filamu yake hiyo nchini Marekani, huku akidai kwamba ujumbe katika filamu hiyo unaonyesha uhusiano wa wapendanao ambao mmoja wao aliwahi kushiriki vita.
Sikia Point Ya Hemedy Kwa Wasanii Juu Ya Uchaguzi Mkuu.
Hemed Suleiman ‘Phd’ ametoa rai kwa masanii wengazke kutoa elimu juu ya upigaji kura katika Uchaguzi Mkuu wa badaye mwezi huu badala ya wenyewe kuwa mashabiki wa vyama.
Monday, October 5, 2015
Tuesday, September 29, 2015
Picha: Odama Na Mastaa Wenzake Wakiwa Morogoro Kwenye Kampeni Za CCM.
Odama analiendeleza libeneke la kuinadi CCM katika kampeni zinazoendelea yeye na wasanii wenzake wa filamu na muziki. Hizi ni picha wakiwa Morogoro..........
Nikishinda Ubunge Nitastaafu kwanza Mambo Ya Filamu: Frank
Staa mkongwe wa bongo Movies, Mohammed Mwikongwi ‘Frank’ amesema atastaafu fani ya uchezaji wa filamu endapo atashinda kiti cha ubunge cha jimbo la Segerea, Dar es Salaam katika muchaguzi mkuu wa mwezi ujao.
Sunday, September 27, 2015
Njoo Uhudumiwe Na J-Son Production Kwa Huduma Za Kiwango Chenye Ubora Wa Hali Ya Juu.
Ukitaka Picha Nzuri, Video Zenye Quality Ya Hali Ya Juu Na Ubora Ulio Chati…
Jibu Lako Ni J-SON Production… Tunatoa Huduma Zifuatazo:- Tunapiga Na Ku Edit Picha, Na Video Kwa Ubora Wa Hali Ya Juu Kwenye Send Off, Kitchen Party, Wedding, Komunio, Kipaimara, Filamu Na Hata Matamasha Mbalimbali…
Ndugu Mteja Wetu Tukikufanyia Kazi Yako Pia Hua Tunatoa Ofa Mbalimbali Ikiwemo Mobile Studio Na Mengine Mengi…
Dr.Cheni Afunguka Kuhusu Madai Ya Kumuoa Lulu.
Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu.
Madai ya uhusiano wa Lulu na Dk. Cheni yamekuwa yakienea chinichini kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kuamini kuwa, huenda lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Lowasa Anajua Njaa Zetu Wasanii Akiingia Madarakani Hawezi Kutusahau: Wolper
"Naamini hata kama UKAWA ikachukua nchi kwa navyomuona Baba Lowasa ana moyo wa imani na anaijua dini kwahiyo wewe shabiki wangu uliandika maneno haya ambayo yamenigusa nakuhakikishia kwamba Mh Lowasa ndiyo Rais nahatofanya lolote baya kwa wasanii wanaomtukana kwani pia yeye naamini anajua njaa zetu na pia anajua maneno wanafundishwa kutokana na panic zao, maana watanzania wengi wamesanuka yani kwakifupi awajashituka wamesanuka kila mtu anataka mabadiliko na mabadiliko lazima yafanyike..Kwahyo usijali wala usiwaze nitabaki kuwa mtetezi wamaskini wenzangu paka dakika ya mwisho.
Naomba tena nirudie nanitengue kauli ukawa ikiingia madarakani aitomuonea msanii aliyedanganyika kwenda CCM kamwe itakua niwakati wawao kujutia nakutubu Ameni..." Wolper alimjibu shabiki mmoja aliyecomment kama Lowasa akiingia madarakani anaweza kuwabagua wasanii waliotimkia CCM
Wema Sepetu Amtaja mwanaume Atakayeanzisha Nae Familia, Asema Hana Uswahili Kama Kina ......
BAADA ya kupita ukimya mrefu bila kuzungumzia mapenzi, mrembo asiyepoteza ubora wake, Wema Sepetu ‘Madam’ amemtaja mwanaume anayetarajia kumzalia mtoto kuwa ni Luis Munana, raia wa Namibia.
Wema alifunguka hayo juzikati mara baada ya mwandishi wetu kutaka kujua ana mpango gani kwenye ulimwengu wa ‘malovee’ ndipo alipomwanika Luis kuwa ndiye mwanaume pekee ambaye ameshafikia hatua ya kumuamini na yuko tayari kuzaa naye kwa namna yoyote licha ya kujua ana tatizo la uzazi.
Monday, September 21, 2015
Sunday, September 20, 2015
Kijue Kilichomfanya Riyama Ally Kuishia Kidato Cha Pili.
Staa wa Filamu Bongo, Riyama Ally ameweka wazi kuwa hakumaliza elimu ya sekondari kutokana na ugumu wa masomo kwani hakuwa akiambulia chochote darasani licha ya walimu kujitahidi kufundisha kwa kiwango cha juu.
Gabo Zigamba Amesema Hiki Kufuatia Baadhi Ya Wasanii Kuwa Busy Na Kampeni Za Siasa.
Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa licha la wimbi la wasanii wake kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo ambao wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.
Subscribe to:
Posts (Atom)












