OMOSEXY-OMOTOLAH NA WEMA SEPETU NDANI YA GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL KATIKA UZINDUZI WA SUPERSTAR
Wema Sepetu akiwa na mgeni wake Omotolla Jalade ndani ya Hotel ya Giraffe katika uzinduzi wa Filamu yake ya SUPERSTAR.Omotolla ni mmoja kati ya maactress hatari ndani ya kiwanda cha NOLLYWOOD Nigeria.Hakika ujio wake ni chachu kubwa kwa wasanii wa filamu nchini haswa sisi kinadada,tunatakiwa tuige kutoka kwake nini wanafanya mpaka wanatajirika na kupata kazi nyingi mpaka kufika HOLLYWOOD.Hakika kwa hili tunatakiwa kumpongeza WEMA kwa kumleta msanii huyu mkubwa nchini.
Nikiwa na OMOTOLLA,Hakika nafasi hii niliipenda sana
Davina akiwa na OMOTOLLA
Nesh akiwa na Omotolla
Rachel akiwa na OMOTOLLA JARADE
Mtitu Bw Harusi mtarajiwa hakuwa nyuma kupata picha na OMOTOLLA
Wasanii wa BONGO MOVIE hawakuwa nyuma katika kumsapoti msanii mwenzao
Rachel,Davina na Nesh wakiwa na WEMA ndani ya Giraffe Hotel baada ya uzinduzi wa Filamu ya SUPERSTAR
Nikiwa na Wema Sepetu
Omotolla akienda kupumzika baada ya uzinduzi wa filamu kuisha akisindikizwa na Manager wa Wema Martin Kadinda na Rachel na mdau wa filamu
No comments:
Post a Comment