UJENZI WA KABURI LA ALIYEKUWA "MAKE UP ARTIST" WA KAMPUNI YA J-FILM 4 LIFE...!!
Haya ndiyo yaliyojiri katika ujenzi wa kaburi la aliyekuwa make up artist wa kampuni ya J-FILM 4 LIFE,,,, Hakika tunamkumbuka na kumuenzi daima kwa ushirikiano wake wa uchapa kazi na upendo aliokuwa nao katika timu nzima kuhakikisha kazi zinafanyika kwa kiwango kizuri,,,,,,,, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment