Msanii wa
Bongo Movie Sheila (Rachel) Haule aliyezaliwa mwaka 1988, siku ya jana
ilikuwa ni siku yake ya mwisho kuliona jua hapa dunia.
CHANZO CHA KIFO CHAKE
Rachel
Haule ambaye alikuwa mjamzito, siku ya Jumamosi 25.05.2014 alikimbizwa
katika hospitali ya Lugalo hapa jijini Dar es Salaama kwaajili ya
kujifungua na bahati mbaya sana baada ya kujifungua mtoto alifariki
dunia. Hali ya Sheila (Rachel) Haule ilikuwa mbaya kutokana na pressure
aliyokuwa nayo, alikimbizwa katika hospitali ya Muhimbili, kufika
hospitalini hali ilikuwa mbaya sana na ikalazimika kumpeleka I.C.U na
huko ndiko kifo chake kilimpata. Akiwa I.C.U alikuwa akilalamika sana
kumuona mwanae lakini hakuweza kumuona mwanae mpaka mauti ilipomchukua.
Rechal Haule kipindi cha uhai wake alitamani sana kuwa na mtoto, alikuwa
akizungumza sana juu ya kupata mtoto kwa rafiki yake kipenzi Odama.
Odama alimtania na kumwambia akijifungua tu muda mchache watacheza
filamu, Rachel alikataa na kusema anataka kumlea mwanae kwanza. Ndoto
yake haijatimia na imezimika ghafla.
MANENO YA MWISHO ALIYOONGEA KWA RAFIKI YAKE JENNIFER KYAKA (ODAMA)
Rachel
Haule alisema, "Odama nataka kumuona mwanangu, Je, umemuona mwanangu?"
Masikini ya Mungu, Rachel Haule hakujua ya kuwa manae alishafariki.
MAZISHI
Mwili wa marehemu umeagwa katika viwanja vya Leaders na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
MC
Mpenzi wa marehemu Rachel Haule, Saguda wa pili kutoka kushoto
Odama wa pili kutoka kulia akiwa na uchungu wa kupotelwa na rafiki yake Rachel Haule
KIPINDI CHA KUTOA SADAKA BAADA YA NENO LA MUNGU
Kemmy akikusanaya sadaka
Irene Uwoya akiwa amebebwa baada ya kuzimia Leader
Irene Uwoya akiwa amezimia
Irene Uwoya akiwa amezimia
Irene Uwoya akiwa amezimia
Mama Elieth (kulia) akiwa na Odama
Basila (kushoto) ambaye ndiye alikijua kipaji cha marehemu Rachel Haule akiwa na uchungu mkubwa
KIPINDI CHA WASANII WA BONGO FLAVA KUMUIMBIA MAREHEM RACHEL HAULE
KIPINDI CHA WASANII WA BONGO FLAVA KUMUIMBIA MAREHEM RACHEL HAULE
Stara Thomas
Stara Thomas
KIPINDI CHA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SHEILA (RACHEL) HAULE LEADERS
KIPINDI CHA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SHEILA (RACHEL) HAULE LEADERS
Kushoto ni Jennifer Kyaka (Odama) akiwa na mama Elieth
Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae
Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae
Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae
Mama yake na Marehem Kanumba
Kajala (wa pili kutoka kushoto)
JB
Mainda
Luge wa Clouds FM
Joti
Kemmy
Maimatha
Mwenyekiti wa Bongo movie Steve Nyerere
Mama Elieth (kulia) akimfariji Jennifer Kyaka (Odama)
Odama haamini macho yake kuhusina na kifo cha rafiki yake Sheila (Rachel) Haule
KIPINDI CHA JENNIFER KYAKA (ODAMA) KUAGA MWILI WA RAFIKI YAKE MPENZI SHEILA (RACHEL) HAULE
Odama akiwa ameshikiliwa kwakukosa nguvu
Saguda mpenzi wake na marehemu Sheila (Rachel) Haule
MAENENO YA MAKABURI YA KINDONI AMBAKO MWILI WA MAREHEMU RACHEL HAULE UNAPUMZISHWA.
ODAMA AKIHOJIWA NA CLOUDS TV KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
Odama akiwahojiwa na Shamaradi wa kipidi cha Take One Clouds TV
Kulia ni mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga
No comments:
Post a Comment