Tunasikitika
kwa wapenzi wa fiilamu Tanzania na Watanzania wote, leo hii hatunaye
tena Rachel Haule. Mwenyekiti wa Filamu Tanzania ametoa taarifa za kifo
cha Rachel Haule kwa kupitia chombo cha habari Clouds katika kipindi cha
Clouds 360. Wasanii wanakutana Leaders kwa maandalizi ya msiba huu.
Marehemu Rachel Haule
No comments:
Post a Comment