Sasa ile filamu
iliyokuwa ikisubiliwa na Watanzania wengi ya INSIDE kutoka kwa Jennifer Kyaka
(Odama) itakuwepo sokoni 10.07.2014. Filamu hii ambayo imechezwa katika
mazingira ya ofisini ikionyesha vituko vinavyofanyika maofisi na
wafanyakazi na pia mabosi. Kama kawaida ya kampuni ya J-Film 4 Life ndio
iliyohusika katika kutengeneza filamu hii ambayo ukiangalia utavutiwa
na kujua mengi kuhusiana na vituko vya vinatokea maofisini
Ndani
ya filamu hii kuna vituko vya ajabu ukisingatia yumo Majuto, Beny,
Dullah, marehemu Rachel Haule, Odama na wengine wengi kama unavyoona
katika cover. Jipange mtu wangu kujipatia hii nakala ambayo mpya upate
kuongeza siku zako za kuishi kwa kicheko.
No comments:
Post a Comment