INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, December 28, 2014

Photos: Odama Ndani Ya S.Akifanya Yake.

Hizi ni picha zaidi zikimuonyesha star wa filamu Odama akiwa S.Afrika kwa mishe mishe zake mbali mbali zikiwemo za kikazi

Saturday, December 20, 2014

Picha: Odama Akiwa Ndani Ya S.Africa Kwa Ajili Ya Kikazi.

Odama yupo nchini S.Africa kwa mapumziko na shughuli nyingine za kibiashara. Angalia baadhi ya picha .............

Tuesday, December 16, 2014

Odama Aenda S.Africa Kisha Brazil Kwa Ajili Ya Holiday Na Masuala Ya Kikazi.

Odama Jennifer Kyaka mmoja wa waigizaji maarufu wa filamu nchini juzi alisafiri kwenda nchini S.Africa na baadaye ataekea nchini Brazil kwa ajili ya mapumziko na bia mambo mengine ya kibiashara. Angalia wakati akiwa Julius Nyerere international Aiport.......

Thursday, December 11, 2014

Nimeumizwa Sana Katika Mapenzi: Happy Nyatawe

Star wa filamu Tanzania Happy Nyatawe amesema kuwa Zamani mapenzi yalimtesa sana ila kwasasa amepata kujifunza hapendi kuweka focus kwa mtu asiyempenda kwa dhati na wala halazimishi mapenzi ila anakomaa na kazi zake kama kawaida.

Idris Kuwekeza Katika Tasnia Ya Filamu Nchini Sehemu Ya Pesa Alizoshinda Big Brother Africa.

Mshindi wa Big Brother Africa HotShot 2014 toka Tanzania Idris Sultan amesema kuwa sehemu ya pesa zake alizoshinda atawekeza katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa kuwa anapenda kuwekeza katika sanaa hiyo inayokuwa nchini.