Idris Kuwekeza Katika Tasnia Ya Filamu Nchini Sehemu Ya Pesa Alizoshinda Big Brother Africa.
Mshindi wa Big Brother Africa HotShot 2014 toka Tanzania Idris Sultan amesema kuwa sehemu ya pesa zake alizoshinda atawekeza katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa kuwa anapenda kuwekeza katika sanaa hiyo inayokuwa nchini.
No comments:
Post a Comment