Star wa filamu Tanzania Happy Nyatawe amesema kuwa Zamani mapenzi yalimtesa sana ila kwasasa amepata kujifunza hapendi kuweka focus kwa mtu asiyempenda kwa dhati na wala halazimishi mapenzi ila anakomaa na kazi zake kama kawaida.
Happy ambaye filamu yake mpya ya Hakuna Matata akiwa na Nisha, Hemedy, King Majuto Na Mau inatoka mwezi huu akizungumza na Swahiliworldplanet alisema.......
"Kuhusu mahusiano ndo hivyo zaman mapenzi yaliniumiza lakini sasa hivi walaaa napenda ninapopendwa silazimishi sipend stress maana najua kutafuta Mungu kanipa miguu na mikono ili nijitume sasa pole yako uliekaa chini unalilia mapenzi ngao yangu ni hii wewe ukini-delete wenzio wanani-download yaani mapenzi hayaniumizi kichwa kabisaa"
No comments:
Post a Comment