INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, January 19, 2015

TAARIFA: FILAMU YA MPYA YA JADA YA JENNIFER KYAKA (ODAMA) KUTOKA J-FILM 4 LIFE KUSAMBAA MITAANI SASA

Kampuni ya J-Film 4 Life ya mwanadada Jeniffer Kyaka (Odama) itaachia filamu mpya ya JADA siku ya terehe 19.02.2015. Kama tunavyomjua mwigizaji maarufu nchini Tanzania Odama ambaye kwa sasa ameamua kutoa filamu yake ya JADA kama zawadi kwako mdau wa filamu Tanzania ili uweze kuburudika na kujifunza mengi kutoka kwa mwigizaji huyu,

Katika filamu hii utaweza kuona jinsi gani mtoto anayeishi na mama wa kambo anavyoweza kuharibu ndoa ndani ya nyumba kwa vituko na udanganyifu. Mbali na hilo utaona mambo mengi sana ambayo yatakufanya wewe uweze kuwa na muonekano mpya kifikra na kimtazamo. Filamu hii itakubadilisha sana na kukuweka katika ulimwengu mwingine na uliouzoea. Hebu itazame sasa.

Pia unaweza kumuunga mkono na kuinua karama yake hii aliyopewa na mwenyezi Mungu ya uigizaji kwa kununua filamu zake zilizopo madukani kama zinavyooneka kwenye tangazo lililotengezwa na Rumafrica (+255 715 851523 www.rumaafrica.blogspot.com) hapo chini na hasa hii filamu mpya ya JADA.



ANGALIA PICHA ZA BEHIND THE SCENE ZA FILAMU YA JADA
Picha zimepigwa na Rumafrica +255 715 851 523 | www.rumaafrica.blogspot.com
























Rulea Sanga (kulia) na Wastara



























ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYZA "READ MORE" HAPO CHINI KIDOGO

Friday, January 9, 2015

Monday, January 5, 2015

Mtunisy Na Chuchu Hans Waendelea Kugawana Maumivu.


Filamu ya Tugawane Maumivu imeonekana kuwakuna mashabiki kwa kuikubali sokoni, Waliofanya yao humo ndani ni Mtunisy, Chuchu Hans, Mulky na Rammy Galis.

Filamu Ya Mafuriko Toka Kwa Mzee Majuto, Lufedha Na Modest Bafite Kuwabamba Mashabiki.

Filamu mpya ya Mafuriko toka kwa King Majuto, Salehe Lufedha na Modest Bafite itatoka tarehe 8 January. Movie hiyo ni kali sana sio ya kuikosa kwa wapenzi wa filamu za kitanzania

Manaiki Sanga, Wolper, King Majuto, Kajala, Uwoya, Mlela, Hemedy, Gabo Kukinukisha Na Filamu Mpya Ya Wake Up.

Mastaa wa filamu filamu nchini Manaiki Sanga, Jackline Wolper, King Majuto, Irene Uwoya, Kajala, Gabo, Quick Racka, Yusuph Mlela, Hemedy PHD, Mama Abdul, Florah Mvungi, Tausi Mdegela, Mabeste, Sam Wa Ukweli wanatarajiwa kukinukisha katika filamu mpya iitwayo Wake Up (Amka) ambayo imeandaliwa na Manaiki Sanga mmoja wa wasanii wanaofanya vizuri katika filamu za Tanzania.

Sunday, December 28, 2014

Photos: Odama Ndani Ya S.Akifanya Yake.

Hizi ni picha zaidi zikimuonyesha star wa filamu Odama akiwa S.Afrika kwa mishe mishe zake mbali mbali zikiwemo za kikazi

Saturday, December 20, 2014

Picha: Odama Akiwa Ndani Ya S.Africa Kwa Ajili Ya Kikazi.

Odama yupo nchini S.Africa kwa mapumziko na shughuli nyingine za kibiashara. Angalia baadhi ya picha .............

Tuesday, December 16, 2014

Odama Aenda S.Africa Kisha Brazil Kwa Ajili Ya Holiday Na Masuala Ya Kikazi.

Odama Jennifer Kyaka mmoja wa waigizaji maarufu wa filamu nchini juzi alisafiri kwenda nchini S.Africa na baadaye ataekea nchini Brazil kwa ajili ya mapumziko na bia mambo mengine ya kibiashara. Angalia wakati akiwa Julius Nyerere international Aiport.......

Thursday, December 11, 2014

Nimeumizwa Sana Katika Mapenzi: Happy Nyatawe

Star wa filamu Tanzania Happy Nyatawe amesema kuwa Zamani mapenzi yalimtesa sana ila kwasasa amepata kujifunza hapendi kuweka focus kwa mtu asiyempenda kwa dhati na wala halazimishi mapenzi ila anakomaa na kazi zake kama kawaida.

Idris Kuwekeza Katika Tasnia Ya Filamu Nchini Sehemu Ya Pesa Alizoshinda Big Brother Africa.

Mshindi wa Big Brother Africa HotShot 2014 toka Tanzania Idris Sultan amesema kuwa sehemu ya pesa zake alizoshinda atawekeza katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa kuwa anapenda kuwekeza katika sanaa hiyo inayokuwa nchini.