Mkurugenzi wa kampuni ya J-FILM 4 LIFE amwaga chozi wakati wa mahojiano aliyofanya na televisheni ya STAR TV, Katika mahojiano hayo ya kipindi cha "Mcheza Kwao" kinachorushwa siku ya jumapili saa 11:30 jioni na mtangazaji wake "SAUDA MWILIMA" utapata kusikia mengi usiyoyafaham kuhusu Producer/Actress "ODAMA".... Mengi zaidi kuhusu yote aliyotiririka utakutana nayo jumapili ya tarehe 9-06-2013, hakikisha hukosi kipindi hicho upate kujua alifunguka nini na ni vipi anakuja kivingine zaidi......!!!!!
No comments:
Post a Comment