Mkurugenzi wa kampuni ya J-FILM 4 LIFE katika picha tofauti tofauti akiwa anaingia Julius Nyerere International Airport, hizi ni baadhi ya picha za pamoja na familia wakiwa wanaagana na kutakiana safari njema,,,,, Wadau wa filamu safari hii ni ya harakati za kuboresha kazi za kampuni kwa vifaa zaidi na elimu ya utengenezaji wa filamu za kisasa kaeni mkao wa kipekee kabisa katika Filamu za kampuni yetu zijazo, Hakika tunakuja na ulimwengu mpya wa filamu!!!!!!
jamani odama mbona huweki picha zingine au story yoyoy kwenye hii blog unatuchosha ukikaa muda mrefu
ReplyDelete