Mkurugenzi wa J-Film 4 Life akisubiria kuingia katika chumba cha mahojiano na mtangazaji wa TBC 1 radio Jane John wa kipidi cha Asubuhi Hii.
Odama akielekea katika chumba cha mahojiano cha TBC 1 radio
Mtangazaji wa radio TBC Taifa Jane John akifanya mahojiano na mwigizaji maarufu wa filamu Tanzania Jennifer Kyaka (Odama) .....!!!!!
Jennifer Kyaka akiwa makini kujibu maswali kutoka kwa Mtangazaji wa radio TBC Taifa Jane John...!!!!
Odama akielezea ujio wa filamu yake mpya na kuelezea wahusika waliocheza katika filamu hiyo ambayo ina ujumbe muhimu kwa jamii....!!!
Jennifer Kyaka wa J-Film 4 Life...!!!
Jane John mtangazaji wa kipindi cha ASUBUHI HII cha TBC Taifa.....!!!!
Baada ya kumaliza mahojiano na TBC Taifa radio, Mkurugenzi wa J-Film 4 Life aliweza kuhojiana na mtangazaji wa kipindi cha JAMBO, Mbozi Katala wa television ya TBC1 juu yafilamu yake ya "WITCH DOCTOR" ambayo iko sokoni sasa...!!!
Mtangazaji wa radio ya Taifa TBC1 na mwigizaji wa filamu Tanzania
Mkurugenzi wa Rumafrica na blogger wa blog ya ODAMA 1 Rulea Sanga akiwa na Mkurugenzi wa J-Film 4 Life Jennifer Kyaka (Odama) katika studio za TBC 1
No comments:
Post a Comment