INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Thursday, August 29, 2013

TUMEONA FILAMU NYINGI LAKINI HII YA "JICHO LANGU" NI KIBOKO....!!! COMMING SOON

Kampuni ya J-FILM 4 LIFE  iliyochini ya Mkurugenzi Jennifer Kyaka (ODAMA) ipo katika matayarisho ya filamu ya kipekee kabisa na ya kusisimua inayokuja kwa jina la "JICHO LANGU".
Na hizi ni baadhi ya Still Pictures za Location mbalimbali zilizotumika katika filamu hii mpya ya JICHO LANGU
Wadau wote wa filamu zetu kaeni mkao kwani hakika mtafurahia kazi hii ya kitofauti kabisa!!
Ndani ya filamu hii utaelimika, utaadibishwa, utajifunza na kujua mengi yanayotokea katika maisha yetu ya kila siku.
Filamu hii inaelezea maisha halisi yaliyotokea katika familia fulani ambayo hatutaweza kuitaja kwako siku ya leo ila utaweza kujua na kusikia pale tu utakaponunua hii "movie"
USIKOSE KUJIPATIA FILAMU HII ITAKAPOTOKA...!!!!






























































No comments:

Post a Comment