Mwezi wa tisa mwaka huu 2013 ulikuwa ni mwezi wa kipekee kwa Anita Kyaka alivyovishwa pete ya uchumba
na mume wake mtarajiwa James. Tukio zima
lilifanyika Mburahati nyumbani kwa familia ya Anita Kyaka. Ndugu na jamaa
walijitokeza kuhahakikisha shughuli nzima inafanyika kwa amnai na upendo.
Anita Kyaka
Bwana harusi mtarajiwa james akiwa ameshika pete ya kumvisha Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
Bwana harusi mtarajiwa james akiwa ameshika pete ya kumvisha Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
1.
Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka akivishwa pete
na mume wake mtarajiwa James.
1. Bwana harusi mtarajiwa
James kushoto akiwa na
mshenga wake.
Bibi
harusi Anita akipelekwa ukumbini kwaajili ya Bwana harusi mtarajiwa James
kumtambua.
Shughuli
nzima ilikuwa ikiendeshwa kimila zaidi…
1.
Bwana harusi mtarajiwa James akifunua kitenge
kilichomfunika Bibi harusi mtarajiwa Anita katika zoezi zima la kumtambua
mchumba wake.
1. Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka akiwa na
rafiki yake Jennifer Kyaka (Odama) Miss Mary Kisingo (wa pili kutoka kulia
1.
Baadhi ya ndugu na marafiki waliohudhuria
kuhakikisha shughuli inaenda sawa…
1.
Baadhi ya mahari zilizotolewa kutoka upande wa
mume mtarajiwa.
1.
Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka akiwa na mdogo
wake Joan Kyaka
Wazazi wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
MUNGU NI MWEMA KWA KILA MTU.
TUNAWASHUKURU WOTE MLIOFIKA. MUNGU AWABARIKI SANA
Baba mzazi wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
akiongea machache
Baadhi ya marafi ki wa Bibi harusi mtarajiwa
waliofika kum-support rafiki yao.
Baba wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
akimtambulisha binti yake Jennifer Kyaka (Odama) katika shughuli ya kumvisha
pete mdogo wake
Dada wa Bibi harusi mtarajiwa ( Jennifer Kyaka)
akiongea na mdogo wake.
Bibi na Bwana harusi mtarajiwa wakiwa katika picha ya pamoja na wazazi wa
Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
Anita Kyaka akiwa na mama yake mzazi baada ya
kuvishwa petena mchumba wake.
Bwana harusi mtarajiwa James akiwa na baba mzazi
wa Anita Kyaka baada ya kumvisha pete Anita
Kulia ni mshenga na kushoto ni dada wa bwana
harusi mtarajiwa James wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya ndugu wa Bibi harusi mtarajiwa Anita
Kyaka wakiwa katika picha ya kumbukumbu.
Baadhi ya majirani wa bibi harusi wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya ndugu wa mwanaume wakiwa katika picha
ya pamoja.
Marafi ki wa Bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
wakiwa katika picha ya pamoja.
Bwana harusi mtarajiwa James akiwa na ndugu wa
bibi harusi mtarajiwa Anita Kyaka
Jennifer Kyaka (Odama) akiwa na shemeji yake
James pamoja na mdogo wake Anita Kyaka.
Anita Kyaka akiwa na mume wake mtarajiwa James
Kushoto ni dada yake na Anita aitwae Yusta na
kulia ni mume wake aitwae Bariki wakiwa na mahurusi watarajiwa.
Shughuli ikifungwa kwa maombi.
TUNAWASHUKURU WOTE MLIOFIKA. MUNGU AWABARIKI SANA
No comments:
Post a Comment