Kampuni ya J-Film 4 Life iliyo chini ya mkurugenzi wake Jennifer Kyaka (Odama) baada ya kuachia filamu
nyingi kitaani sasa inakuletea filamu nyingine
yenye kiwango kingine kabisa iitwayo FIGO. Katika filamu hii utajifunza mengi
sana ambayo yatakuweka katika ulimwengu mwingine. Utapata kujua
ni kitu gani kinafanyika katika jamii yetu. Kama mdau wa J-Film 4 Life
na umekuwa ukiangalia filamu zetu nyingi kama vile Pain Killer, Witch Doctor,
Family War, Life 2 Life, The Avenger, Loreen na nyingine nyingi usiwaze wala
kupanga kukosa kujipatia nakala yako hii ya FIGO....!!!
|
Haya ni baadhi ya matukio yaliyoajili Location wakati wa maandalizi ya
filamu hii ya FIGO.
No comments:
Post a Comment