Siku
ya Jumamosi 16/11/2013 ilikuwa ni siku ya pekee kwa wapendanao, James
na Anita Kyaka kufunga pingu ya maisha katika kanisa la AICT Magomeni.
Wanandoa hawa walimshukuru Mungu kwa yale yote ambayo amefanya katika
kufanikisha lengo lao la kuachana na
ukapela na kuingia katika maisha mapya ya mume na mke. Pia waliwashukuru
wazazi wao ambao wamewalea mpaka kufikia hatua hii waliyofikia. Anita
na James waliwashukuru pia ndugu na jamaa zao waliowatia moyo katika
kipindi walichokuwa wakipitia wakati wa uchumba wao na mpaka sasa
wanaitwa Bwana na Bibi.
Shukrani zingine zilimfikia dada yake kipenzi Jennifer Kyaka (ODAMA) kwa yale yote aliyoyafanya kuhakikisha shughuli inaisha salama.
Shughuli ilianza katika kanisa la AICT Magomeni, baada ya hapo zoezi lilihamia katika viwanja vya Lamada ambapo wanandoa, jamaa na marafiki waliweza kupiga picha za kumbukumbu na mwisho wa siku gurudumu lilielekezwa katika ukumbi wa PICOLO BEACH MIKOCHENI ambapo watu waliweza kujiachia na kufurahia siku ya kipekee ya Anita na James.
Tuone baadhi ya matukio yaliyoajili.
Picha zimepigwa na RUMAFRICA +255 715 851523
Shukrani zingine zilimfikia dada yake kipenzi Jennifer Kyaka (ODAMA) kwa yale yote aliyoyafanya kuhakikisha shughuli inaisha salama.
Shughuli ilianza katika kanisa la AICT Magomeni, baada ya hapo zoezi lilihamia katika viwanja vya Lamada ambapo wanandoa, jamaa na marafiki waliweza kupiga picha za kumbukumbu na mwisho wa siku gurudumu lilielekezwa katika ukumbi wa PICOLO BEACH MIKOCHENI ambapo watu waliweza kujiachia na kufurahia siku ya kipekee ya Anita na James.
Tuone baadhi ya matukio yaliyoajili.
Picha zimepigwa na RUMAFRICA +255 715 851523
KIPINDI CHA KUINGIA KANISANI
Wakiingia kanisani
James na Anita wakiingia kanisani
Fuuul kupendeza
Wa pili kutoka kulia ni mzazi wa Bwana harusi James
KIPINDI CHA KUSIKILIZA NENO LA MUNGU KUTOKA KWA MCHUNGAJI
Kutoka kulia ni wazazi wa Bibi harusi Anita Kyaka
Anita Kyaka (Mrs James)
Mdogo wake na Anita Kyaka aitwae George Kyaka
Jennifer Kyaka (Odama)
Odama akiwa na mdogo wake wa mwisho kulia
Odama akiwa na mdogo wake wa mwisho Albert Kyaka
Kulia ni mjomba wake na Bwana harusi James
KIPINDI CHA MZAZI WA BWANA HARUSI KUMRUHUSU MWANAE KUMPOKEA MKE WAKE (ANITA KYAKA) RASMI...KANISANI
Mamamzazi wa Bwana harusi, James
Bibi wa Bibi harusi Anita Kyaka
KIPINDI CHA WAZIZI WA BIBI HARUSI KUTOA NENO KWA MAHARUSI
Wazazi wa bibi harusi, Anita Kyaka
Mchungaji akiwapa mkono wa baraka wazazi wa bibi harusi baada ya wosia wao
KIPINDI CHA KUVISHANA PETE
KIPINDI CHA KUTIA SAINI KATIKA VYETI VYAO VYA NDOA
James akiweka saini
Anita akiweka saini
KIPINDI CHA KUTOKA KANISANI NA KUELEKEA LAMADA KWAAJILI YA PICHA ZA KUMBUKUMBU
KIPIDI CHA KUPIGA PICHA ZA KUMBUKUMBU KATIKA LANGO KUU LA KANISA
Wakiwa katika mlango mkuu wa kutokea wakipiga picha za pamoja na ndugu na jamaa zao
Kushoto ni dada yake Anita Kyaka akiwa na mdogo wake George Kyaka
Odama akiwa na wadogo zake..kulia ni George na kushoto ni Albert
Odama akiwa na wazazi wake
MAHARUSI WAKIWA KATIKA ENEO LA LAMADA KWA PICHA ZA KUMBUKUMBU
Maharusi wakiwa na wazazi pamoja na ndugu wa upande wa Anita Kyaka
Madada na baadhi ya ndugu wa bibi harusi
Kulia ni mdogo wake Anita Kyaka (Joan Kyaka) akiwa na rafiki yake
UKUMBINI
Wa kwanza ni mama mzazi
Kutoka kulia ni Zungu, dada yake na Anitaka Kyaka, Joan Kyaka na rafiki yake Joan Kyaka wakiingi ukumbini
Jennifer Kyaka (Odama) dada wa Anita Kyaka
Joan Kyaka mdogo wake na Anita Kyaka
KIPINDI CHA MAHARUSI KUSALIMIANA NA NDUGU NA JAMAA
Anita Kyaka akisalimiana na mama mzazi wa mume wake James
James akisalimiana na mama yake mzazi.
James akisalimiana na baba mzazi wa mke wake Anita Kyaka
KIPINDI CHA KUBURUDIKA NA MUZIKI
KIPINDI CHA KUPIGA PICHA ZA PAMOJA NA VIKUNDI MBALIMBALI
Hawa ni ndugu wa upande wa James
Bibi mzaa mama wa Anita Kyaka
Bryan mtoto wa dada yake na Anita Kyaka
Odama dada yake na Anita Kyaka
Wazazi wa Anita Kyaka wakiwashukuru wale wote waliofika na kutoa ujumbe kwa wanandoa hawa...
George Kyaka akiwa na dada yake
KIPINDI CHA KULISHANA KEKI KILIFIKA
KIPINDI CHA MISOSI KILIFIKA..WATU WEWEEEEEEE...!!!!
KIPINDI CHA SHAPENI KILIFIKA
KIPINDI CHA KUTOA ZAWADI KILIFIKA
KIPINDI CHA KUPIGA PICHA ZA PAMOJA NA VIKUNDI MBALIMBALI, NDUGU NA JAMAA
Ndugu upawa mume
KWAHERINI JAMANI NA MUNGU AWABARIKI SANA
Picha zimepigwa na
RUMAFRICA
+255 715 851523
www.rumaafrica.blogspot.com
No comments:
Post a Comment