Hiki ni kipindi cha majonzi kwa familia yetu kwa kupotelewa na mmoja wa wanafamilia Symphorosa Kokutona ambaye alikuwa kipenzi chetu kipindi yupo hapa duniani. Amekuwa msaada mkubwa katika maisha yetu hasa kwa ushauri wake ambao umetuwezesha kufika mahali hapa tulipo. Tunasikitika sana na kifo chake kilichotokea jana huko Bukoba katika kijiji cha Kilimilile na mazishi yanafanyika leo
MUNGU AMULAZE MAHALI PEMA PEPONI...AMINA
No comments:
Post a Comment