Siku ya jana ilikuwa siku ya kipekee kwa mdogo
wangu Anita Kyaka alipofanyiwa Send Off katika ukumbi wa Mawela Sinza
hapa Bongo. Urembo ulifanyika katika saloon ya Maznat Mikocheni.
Watu kibao wakiongozana na wasanii wa Bongo Movie walimiminika katika ukumbi wa Maweli Sinza. Ngoma za kitamaduni zilichukua nafas yake kuhakikisha watu wanakwenda sawa na bila ya kusahau utamaduni wao.
Anita aliweza kuwashukuru sana mwenyezi Mungu kwa kumuwezesha kufanikisha zoezi zima na pia aliwashukuru sana wazazi wake waliomlea mpaka kufikia hatua ya kuwa na mtu wa kuishi naye ambaye ni James. Haikuishia hapo Anita aliwashukuru watu wote walioweza kufika katika send off yake hapo Sinza.
Ngoja tuone matukio yaliyoaajili....

MAZNAT MIKOCHENI
Anita Kyaka
Kilia ni mkurugenzi wa Maznat, Mazna akimshauri Anita Kyaka
KIPINDI CHA ANITA KYAKA KUINGIA UKUMBINI MAWELA SINZA
KIPINDI CHA KUTOKELEZEA
Odama na Shangazi yake
Odama
Roda (kulia) na Dyness
Odama (kushoto) na Roda
Odama (kulia) na marafiki zake wa Bongo Movie
Odama (kulia) na marafiki zake wa Bongo Movie
Kulia ni Director wa J-Film 4 Life Lamata na mtu wa make wa kampuni hiyo, Ashura
Kulia ni Odama akifuatia na mdogo wake George pamoja na baba yao mdogo
KIPINDI CHA KUTAMBULISHA NDUGU NA JAMAA
KIPINDI CHA KEKI
KIPINDI CHA SHAPENI
Kulia ni Roda wa Bongo Movie
Mwigizaji wa Bongo Movie, Roda akigawa shapeni
Anita Kyaka akigonga glasi na wazazi wake
KIPINDI CHA CHAKULA
Anita Kyaka na mume wake mtarajiwa James
Mama yake Anita Kyaka
Meza ya wazazi na ndugu wa karibu wa Anita Kyaka
Meza kuu ya kupatia chakula. Anita akiwa na mume wake mtarajiwa James wakipata msosi
Wasanii wa Bongo Movie
KIPINDI CHA DANCING
KIPINDI CHA KUTOA ZAWADI
Zawadi
Picha ya pamoja, kuanzia kushoto ni kaka zake Anita Kyaka akifuatia na mdogo wake Joan
Dada yake mkubwa na mdogo wake Anita Kyaka
Aliyevaa nguo nyeusi ni dada yake mkubwa
Anita Kyaka akivishwa Lozari na mama yake mzazi
Anita Kyaka na marafiki zake
Anita Kyaka akimkabidhi zawadi ya keki kwa wazazi wake
Anita Kyaka akiwana marafiki zake
Anita Kyaka akiwa na wanakamati
Anita kyaka akiwa na baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
Anita kyaka akiwa na baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
Anita Kyaka akiwa na baadhi ya ndugu zake
Anita akiwa na dada zake na kaka zake
Kaka na dada wa Anita Kyaka
Anita Kyaka kulia akipewa zawadi na mama yake na kushoto wake ni bibi yake mzaa mama yake
Anita akimkabizi baba yake zawadi
Mama yake Anita Kyaka akipokea zawdi kutoka kwa mwanae Anita
Kulia ni mama yake Anita akiwa na mama yeke mdogo na Anita Kyaka
Wazazi wa Anita Kyaka wakimkabidhi saa mwanae Anita kama ishara ya kuwa makini na muda
Wazazi wa Anita Kyaka
Wazazi wa Anita Kyaka wakimkabidhi Biblia
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie
Baba wa Anita Kyaka
Kulia ni mdogo wake na Anita Kyaka, Joan na rafiki yake
Mdogo wake na Anita Kyaka
KIPINDI CHA WASHENGA KUFANYA YAO
KIPINDI CHA SHUKRANI
Flow Manager Adam akitoa maelekezo na kuwashukuru waliofika
Baba wa Anita Kyaka
Mama wa Anita Kyaka
Kulia ni Baba wa Anita Kyaka na mshenga wakicheza
KIPINDI CHA KUTOKA
KIPINDI CHA KUTOKA
Picha zimepigwa na RUMAFRICA
+255 715 851523
No comments:
Post a Comment