Anza mwezi Aprili na burudani
kupitia filamu mpya ya
JICHO LANGU kutoka katika kampuni ya J-Film 4 Life. Tarehe
31.03.2014 ikifika jisogeze taratibu katika duka lililo karibu nawe
ujipatie
nakala yako ya JICHO LANGU.Ndani ya filamu hii utajifunza mengi kupitia
mwigizaji maarufu nchini Tanzania Jennifer Kyaka (ODAMA) na wasanii
wenzake. Hakika JICHO LANGU itakufungua mambo mengi ambayo ulikuwa hujui
na hujawahi kuyaona yakitokea katika jamii yetu.
No comments:
Post a Comment