Dullah kafanya yake katika filamu, ukiangalia filamu hii hakika utasema
kuna watu wana talent nyingi. Dullah mbali na utangazaji radioni na
kwenye TV pia ni mwigizaji mzuri sana hapa Bongo. Usikose kununua filamu
itakayotoka Julai 10.2014. Nadni ya filamu hii utakutana na King
Majuto, Beny, marehemu Rachel Haule, Davina, na wengine wengi.
No comments:
Post a Comment