Sina maneno mengi juu ya filamu hii yenye kufundisha na kuona vituko
vinavyofanyika maofisini na baadhi ya wafanyakazi na maboss wao.
kama ilivyo ada, kampuni ya J-Film 4 Life imehakikisha video inaonekana katika ile quality bora yenye kiwango cha kimataifa. Maudhui yake ni yenye kuelimisha jamii na kugeuza fikra potovu za watu juu ya vituko vya maofisini.
Baadhi ya waliohusika katika filamu hii ya kimataifa ni:-
No comments:
Post a Comment