J-Film 4 Life chini ya Mkurugenzi Jennifer Kyaka (Odama) sasa
wanakuletea filamu mpya inayoitwa "Family War." Filamu hii itakuwa
sokoni mwezi huu wa Novemba 2012 kwahiyo wadau na wapenzi wa filamu msikose
kuangalia filamu hii, kwani utaelimika, utaburudika, utafundishwa na
kuadabishwa.
J-Film 4 Life baada ya kukuletea filamu ambazo
naamini ulishaziangalia kama Chocolate na House Maid na nyingine nyingi
ambazo ni gumzo jijini Dar es Salaam, sasa imeona ikuletee filamu hii
mpya yenye viwango vya kimataifa. Kama unavyojua J-Film 4 Life ni
kampuni ambayo inatoa filamu za viwango vya juu sana.
Odama akiwa kwenye setting ya camera....akisubiri kufanya mambo yake.
Mambo yakiendelea kuiva
Odama akisubiria Action..............
Watu wakiwa kazini...bizeeeeee
Devie akifanya maajabu katika filamu ya Family War
Grace Mapunda akifanya mambo yake kwenye scene ya hospitali
Director Lamata (kulia) akitoa maelekezo kabla ya scene kuanza
Recho Saguda akiwa on set kabla ya scene kuanza.
Director Sajuki akitoa company kwa waigizaji wenzake kwenye scene za hospitali
Hakuna kitu kizuri kama upendo. Sajuki na mke wake Wastara wanaonyesha upendo kwa vitendo.
Umeona unywele....hayo ni mambo ya Family War
Slim akiwa on set
Cake haikuwa nyuma katika filamu hii
Kazi imepamba moto hospitalini, yaani ni balaa tupu...
Wakati mwingine usione fashion haya ni mambo ya Continuity...
Pozi kwa pozi....
Mlawa akitafakari script kabla ya scene kuanza
Nikipitia script kabla ya scene kuanza
Camera man Malik akiwajibika kazini...kuhakikisha kazi inaenda kama ilivyopangwa.
Tukipitia Script kabla ya scene kuanza
Tukisubiria action kuanza tufanye vitu vyetu.
Director akifuatilia scene kwa makini..
WADAU MSIKOSE KUNUNUA HII FILAMU.....ITAWAELIMISHA, ADIBISHA, KUFUNDISHA NA KUBURUDISHA.
me ninakupenda,tunapataje hiyo movie yako na sisi tulioko nje ya tz?
ReplyDelete