Kampuni ya Sumsung mara baada ya kuona kazi nzuri na zenye ubora zinazofanywa na kampuni ya J-FILM 4 LIFE inayomilikiwa na msanii wa filamu Tanzania Jennifer Kyaka (Odama) waliamua kumualika kwenye "event" ya kipekee iliyofanyika Golden Tulip jijini Dar es Salaam.
Nikiwa naingia Golden Tulip....full kujiachia
Odama akikabidhiwa coupon mara baada ya kuwasili katika hafla hiyo.
Duh si mchezo!!
Mawasiliano ndo kila kitu...
Hayo ndo mambo ya Sumsung bwana...
Hapo vipi..????
Bakari Makuka ndani ya Sumsung akitokelezea...
Watu wakiwa busy kupata utamu wa Sumsung...
Kitu cha Sumsung Tablet 10.1 kikiwa hewani...
Mmoja wa stuff wa Sumsung akimwaga sera
Ma-MC wa event......Bukuku (kushoto) na Jaji wa kipindi cha Tikisa ITV Sauda Simba (kulia)
MC Sauda Simba akifanya mambo yake
Kitu wine kikiniweka sawa...
Mtangazaji wa Clouds FM katika kipindi cha Leo Tena, Dina Marios akishushia kinywaji baridiiiiiii......
Msanii wa Bongo Fleva wa THT, Mwasiti akibadilishna mawazo na rafiki yake
DJ akipagawisha waalikwa ndani ya Golden Tulip.
THT wakijiachia wakati DJ akiwapa vitu vya Sumsung
DJ Fetty akiwashangaa watoto wa THT wakifanya maajabu ya Sumsang "...Dah
watoto wa THT ni balaa...lazima niwarushe katika kipindi changu cha XXL
Clouds FM"
Msanii wa Bongo Fleva Jafaray (kushoto) akitokelezea na rafiki yake kama Warrrrr...
Chezea dinner weyeeeeeee....kitu Sumsung
Kuna vyakula bora lakini hiki kimezidi!!!!!!
DJ Fetty na Jafaray wakitengeneza shavu kwa misosi yenye kiwango cha TBS
Umefika muda wa kwenda zangu home....
Baada ya event kuisha baadhi ya wahudum wa Sumsung wakibadilishana mawazo
FINITO
No comments:
Post a Comment