J-Film 4 Life chini ya Mkurugenzi Jennifer Kyaka (Odama) sasa
wanakuletea filamu mpya inayoitwa "Family War." kwahiyo wadau na wapenzi wa filamu msikose
kuangalia filamu hii, kwani utaelimika, utaburudika, utafundishwa na
kuadabishwa.
J-Film 4 Life baada ya kukuletea filamu ambazo
naamini ulishaziangalia kama Chocolate na House Maid na nyingine nyingi
ambazo ni gumzo jijini Dar es Salaam, sasa imeona ikuletee filamu hii
mpya yenye viwango vya kimataifa. Kama unavyojua J-Film 4 Life ni
kampuni ambayo inatoa filamu za viwango vya juu sana.
No comments:
Post a Comment