INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, August 31, 2013

LULU KUZINDUA FILAMU YAKE YA FOOLISH AGE INAYOSAMBAZWA NA PROIN PROMOTION LIMITED

Uzinduzi huu ulifanyika katika ukumbi wa Mliman City hapa jijini Dar es Salaam siku ya jana. Wasanii wa Bongo movie walijitokeza kum-support msanii mwenzao. Baadhi ya wasanii wa Bongo Flava waliweza kuwaburudisha watu waliofika katika uzinduzi huu wa kimataifa. Lady Jay Dee na Barnaba Boy walishambulia jukwaa na kusababisha watu kumwaga mapesa jukwaani huku wakizitupia jukwaani. Lulu alikusanya pesa kibao kutoka kwa wapenzi wake walioshambulia jukwaa huku wakimwaga mapesa ukumbini.

Lulu

PROIN PROMOTIONS LIMITED ni kampuni inayojishughulisha na usambazaji wa filamu Tanzania na sasa imeanza kusambaza kazi ya msanii huyu wa Bongo Movie, Lulu. Mkurugenzi wa kampuni hii alisema kampuni yake inajali quality ya kazi na sio bora kazi...!!!

Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Ege.

RED CARPET
Mkurugenzi wa J-Film 4 Life, Jennifer Kyaka (Odama) kabla hajaingia ukumbini

MC alikuwa Mtangazaji wa ITV, Godwin Gondwe
Ray

Mwigizaji na mtumishi wa Mungu dada Kemmy akifanyiwa mahojiano na Mtangazaji wa Clouds FM Kiza
Msanii wa Bongo Movie, Recho
Mkurugenzi wa Rumafrica na blogger wa Odama1.blogspot.com, Rulea Sanga akifanya mahojiano na mtangazaji wa clouds FM, Kiza
Wema Sepetu akionyesha tiketi
 ya kuingilia
Wema Sepetu

Recho
Barnaba boy akifanya mambo













Recho ametokelezeyaaaa...!!!!





Steve Nyerere




Mama na mwana...!!!






 JB
Barnaba Boy
Commedian wa TBC1, Joti

NDANI YA UKUMBI

Lulu akiwashukuru watu wote waliofika katika siku ya uzinduzi wa filamu yake ya Foolish Age

Barnaba Boy

Wema Sepetu akiwa amezungukwa na rafiki zake

Wema Sepetu akimzawadia pesa mama yake marehemu Kanumba
https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/5306_572433476146687_1277645634_n.jpg
Mama wa marehemu Kanumba akilia baada ya kupokea pesa kutoka kwa Wema Sepetu

Lulu akisema jambo jukwani

Gadna na mke wake Jay Dee wakiangalia filamu ya Lulu ya Foolish Age

Filamu ikionyeshwa katika screen
Filamu ya foolish Age ikionyeshwa katiika screen
Director wa filamu Lamata (kushoto)

Lady Jay Dee akifanya yake jukwaani

Lulu akipongezwa kwa mahelaaaaa na msanii wa Bongo Movie, Rich

watu wakimpongeza Lulu kwa hatua aliyofikia

Mkurugenzi wa J-Film 4 Life Jennifer Kyaka (odama) na marafiki zake wakimshangilia msanii mwezao wakati akiimba


Director wa J-Film 4 Life, Lamata alikuwepo...
Mwimbaji wa nyimbo za injili (Acapella) alikuwepo....

Ma-MC wakiwa na Lulu (katikati) stejini

Mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga (kushoto) akiwa na blogger Mateja

Watu wakijiaachia.....!!!


Muda wa kuondoka na kuelekea majumbani ulifika....!!!!