Siku ya
jana Cameraman wa J-Film 4 Life chini ya Mkurugenzi Jennifer Kyaka
(Odama) Bwana Malick kwa masikitiko makubwa aliweza kushirikiana na
ndugu na jamaa kumzika kaka yake aliyepata ajali kwa pikipiki na
kupoteza uhai. Crew ya J-Film 4 Life iliweza kufika katika msiba huu
mkubwa na kuungana na ndugu na marafiki kupumuzisha mwili wa marehemu
mkoani Pwani.
Rumafrica iliungana na crew ya J-Film 4
Life katika safari ya mwisho ya kuaga mwili wa marehemu. Hakika
tulisikitishwa sana na kifo cha kaka wa rafiki yaetu Malick na ndio
maana hatukujizuia kuungana na wenzetu kwenda katika msiba huo mkubwa
sana kwa Taifa la Tanzania.
Tukumbuke sote ndiko tunakuelekea, hakuna mwenye makazi ya kudumu hapa duniani
Kulia ni Bwana Malick akiwa na msanii wa Bongo Movie, mchekeshaji Kingwendu
Msanii wa Bongo Movi Kingwendu (kushoto) akiongea na mfiwa Malick mawili matatu..
Mfiwa Malick
Crew
ya J-Film 4 Life- Kutoka kushoto ni Director Lamata, mzee wa boom Issa,
msanii wa Bongo movie, Kupa, Make up Ashura, Light Abdul, cameraman
Malick (mfiwa), mkurugenzi wa J-Film 4 Life Odama
Crew
ya J-Film 4 Life- Kutoka kushoto ni Director Lamata, still picture
Rulea Sanga, msanii wa Bongo movie, Kupa, Make up Ashura, Light Abdul,
cameraman Malick (mfiwa), mkurugenzi wa J-Film 4 Life Odama
Wananchi wakielekea makaburini
Mazishi yakiendelea. Msanii wa Bongo Movie Kupa (mwenye nyekundu) alikuwepo
Issa (mbele) na Malick (nyuma)
Rulea Sanga wa pili kutoka kulia akitupia mchanga kaburini
Kutoka kushoto ni Abdul, Malick na Rulea Sanga (waliovalia tshirts nyeusi)
Rulea Sanga wa pili kutoka kushoto
Rulea Sanga mwenye tshirts nyeusi akishirikiana na wakazi wa pwani wakati wa kuzika
Odama
Mkuugenzi Odama
J-Film 4 Life Make Up, Ashura
J-Film 4 Life Director Lamata
J-Film 4 LifeCrew
J-Film 4 Life
J-Film 4 Life Crew
J-Film 4 Life boss Odama
Odama and Malick