INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, September 13, 2014

STEVE NYERERE AJIUZULU URAIS BONGO MOVIE UNITY

 

Aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Nyerere. Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere' ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram. Amedai kuna mpango mbaya dhidi yake hivyo akaona bora ajiengue pasipo kufafanua zaidi.

No comments:

Post a Comment