Jeniffer Kyaka (Odama)
Msanii wa Bongo Muvi anayeheshimika sana na jamii kwa kazi zake nzuri zinazofanywa na kampuni yake ya J-Film 4 Life dada Jennifer Kyaka (Odama) siku ya leo atakuwa akiosha magari yeye mwenyewe katika viwanja vya Biafra mchana wa leo. Ukitaka kumuona yeye na wasanii maarufu sana wa Bongo Muvi basi jisogeze pale Biafra uone mastaa hawa wakipiga kazi. Soma hilo tangazo
No comments:
Post a Comment