Asante MUNGU kwa kunipa kibali cha kuweza kusimamia kulijenga kaburi la
rafiki angu kipenzi RACHEL HAULE mpaka hatua hii ilipofikia,,MUNGU
aendelee kunisimamia mpaka hitimisho la ujenzi huu pia natoa shukrani kwa shemeji yangu wa ukweli kabisa @guda_boy tulieshirikiana katika jambo hili...MUNGU UMREHEMU NA UMWEKE MAHALI PEMA.
.
Dah hongera sana umefanya jambo zuri na huo urafiki wa kweli unavyokua
ReplyDelete