INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, April 23, 2012

TULIVYOJIACHIA KATIKA AROBAINI YA MTOTO WA MAIMARTHA

 Madada tukiwa tumejiachia vya kutosha katika sherehe ya mtoto wa Maimartha kutimiza siku arobaini,waliosimama kushoto ni Rachel Haule,Dada Erieth na chini ni Sandra na mimi mwenyewe

 Nikiwa na Sandra

 Rachel akiwa na rafiki yake

 Kupa kama kawa akiwakilisha

 Nikiwa na Rachel

 Nikiwa na Dada Erieth

 Dada Erieth akiwa kafurahi

 Maya katika pozi

 Watu kwa mapozi humu

 Jamani we acha tuu

 Mai na Sauda Mwilima

 Sharapova na Solo wa Solo

 Sinta na Sajenti

 Vicheko tuu


Pozi tuu hapa

 Maya na mimi
Mashostito hao

AROBAINI YA MTOTO WA MAIMARTHA WA JESSE

 Wadada wa Bongo Movie tukiwa na Maimartha wa Jesse wakati wa shughuli ya mtoto wake kutimiza siku arobain iliyofanyika  nyumbani kwake kawe beach.Shughuli hiyo ilihudhuriwa pia na marafiki zake na jamaa zake mbalimbali.Burudani mbalimbali zilikuwepo kuhakikisha shughuli hiyo ya mtoto inaenda sawa sawia.

 Maimartha akifurahi

 Wadada wa Bongo Movie tukienda kutoa zawadi kwa mtoto

 Mai alifurahi sana kwa jinsi tulivyompa kampani ya kutosha

 Nikiwa na Mama Erieth

 Furaha kwa kwenda mbele

 Dada Asha akitoa zawadi kwa mtoto

 Zawadi zilikuwa za kumwaga

 Mkurugenzi wa Nyerere the Power Steve Nyerere aligawa pesa za kutosha ikiwa ni zawadi kwa mtoto kwa Mai

 Mai akiwa ametulia akisubiri zawadi 

 Mambo hayo nayo hayakubaki nyuma,sekta ya ndugu yangu kupa

 Weweee hatariiiiiiiiiiiii

 Sio muda wa kuongea huu

 Utamaliza au umejaza tuu

 Auntie na Rehema hawakuwa nyuma kuwajuza marafiki kinachoendelea hapo,si unajua mambo ya BBM

 Nami katika maswala haya sitaki mchezo kabisa

Monalisa akipata menu akiwa na rafiki yake

Monday, April 16, 2012

BONGO MOVIE WAMSAPOTI SAJUKI NA MKEWE KATIKA AROBAIN YA MTOTO WAO

 Wasanii wa Bongo Movie walitoa kampani ya kutosha katika shughuli hiyo ya mtoto wa Sajuki na Wastara.Kama kawaida ya umoja huo wa Wasanii walitoa chochote kwa mtoto huyo katika kuonyesha kwamba Bongo Movie wapo pamoja na Wasanii hao na kuwaombea kwa mungu wazidi kubarikiwa zaidi katika maisha yao.

 Irene Uwoya akipiga picha na mtoto

 Rachel akipiga picha na mtoto huyo

 Tukiwa na Mama mtoto Wastara,kushoto kabisa ni Dada Erieth,cathy na mimi mwenyewe

 Nikiwa nimembeba mtoto,pembeni ni baba mtoto Sajuki

 Tukiwa na Sajuki

 Picha ya pamoja tukiwa na Baba mtoto na Mama mtoto nyumbani kwao Tabata

 Wasanii wa Bongo Movie

 Nteze naye hakuwa nyuma

Nikiwa na Dr Cheni na Mama Erieth

MTOTO WA SAJUKI NA WASTARA ATIMIZA SIKU AROBAINI

 Mtoto wa wacheza filamu wawili nchini,Sajuki na Wastara ametimiza siku arobaini na kufanyiwa sherehe kubwa nyumbani kwao Tabata.Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Wasanii wa Bongo Movie na watu wa kada tofauti na majirani zao.Hakika ilikuwa furaha tele kwa mama mtoto huyo Wastara na mumewe Sajuki kwani ukizingatia ni muda mrefu sajuki hali yake kiafya sio nzuri akiwa anasumbuliwa na maradhi ya  uvimbe tumboni.Kubarikiwa kupata mtoto kwao ni furaha kubwa sana,vile vile kuona wasanii wenzao wa Bongo Movie wakija kwenye sherehe hiyo kwao ilikuwa ni furaha tosha.

 Huyu ndio mtoto mwenyewe wa wasanii hao wawili

 Akitolewa nje

 Tukifuatilia maulidi

 Nikiwa katika harakati za kumpokea mtoto

 Kupa akiwa na Mzee Rupia,Mdau mkubwa wa Bongo Movie na Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga

 Mzee Rupia akiwa na Dinno

 Tukifuatilia maulidi

 Sajuki akimbeba mtoto wake

WAKATI WA MAAKULI ULIWADIA

Nikiwa na Rachel tukipata biriani la nguvu
 
 
 Irene Uwoya naye hakuwa nyuma kabisa katika maakuli hayo

 Watu wakipata maakuli

 Nikiwa na Cathy Rupia tukipata maakuli

 Samahani kwa kuwatamanisha

 Rachel akipata makulaji

 Ndizi zilikuwepo kwa wingi

Msosi ulikuwa wa kutosha ulikuwa unaruhusiwa kurudia hata mara tatu

TUZIDI KUMUOMBEA MSANII MWENZETU SAJUKI APATE AFYA NJEMA

 Msanii mwenzetu Sajuki bado yupo nyumbani akiendelea kupata tiba kama alivyoelekezwa na madaktari wake.Nikiwa nyumbani kwake Tabata nilijaribu kuongea nae akaniambia kwa sasa anaendelea vizuri ila tuzidi kumuombea arudi kwenye game.Sajuki ni mmoja kati ya wasanii niliotoka nao mbali sana hasa katika movie zetu za mwanzo mwanzo.Nakuombea kwa mungu upone haraka urudi katika game tuendelea kupigana

 Nikiwa nyumbani kwake sajuki Tabata

Sajuki akiongea nasi

THE GREAT DAIMA TUTAKUKUMBUKA

Wewe ni mmoja kati ya wasanii ambao ulitaka sanaa yetu isonge mbele zaidi hasa katika ngazi za kimataifa,Daima upo pamoja nasi kwa matendo yako mazuri katika jamii hasa kwa wasanii wenzako.Falsafa zako ulizokuwa ukituambia ndizo zitakazotuongoza.MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI,AMEN

Thursday, April 5, 2012

MY NEW MOVIE" RUDE" INATOKA MWEZI HUU WA APRIL


                        
 Kaa tayari kupata nakala yako mpya ya movie yangu inayoitwa RUDE niliyoicheza na Stanley Msungu,Ruth Suka a.k.a Mainda, Mzee Jengua, Herrieth Chumila,Rachel Haule na wasanii wengineo kibao.
 Ni story nzuri sana ( Lamata hajawahi kuniangusha kwenye hilo) inayoonyesha mambo halisi   yanayotokea katika jamii yetu.


 Utajiuliza utofauti wake ni nini? ni ubora wa picha( shukrani kwa Farid Uwezo) mpangilio mzuri wa story, soundtracks zilizopangiliwa vizuri, ubora wa sauti na kikubwa zaidi FINE ACTING.


 Muone jinsi Msungu alivyodhihirisha u- mwamba wake wa kuweza kucheza roles tofauti tofauti (picha ya cover inajieleza)
 Utaona jinsi MAINDA alivyokuwa Good girl gone bad( get ur copy umuone msichana huyo mdogo  lakini mkongwe kwenye movie za bongo)


   Utaniona mimi pia   ( makamuzi yangu si unayafahamu?)
         
                                   
        


               IN STORES THIS APRIL.......GET UR COPY .