INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, April 16, 2012

THE GREAT DAIMA TUTAKUKUMBUKA

Wewe ni mmoja kati ya wasanii ambao ulitaka sanaa yetu isonge mbele zaidi hasa katika ngazi za kimataifa,Daima upo pamoja nasi kwa matendo yako mazuri katika jamii hasa kwa wasanii wenzako.Falsafa zako ulizokuwa ukituambia ndizo zitakazotuongoza.MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI,AMEN

No comments:

Post a Comment