Mshitakiwa wa kesi ya mauaji ya aliyekuwa msanii wa filamu Bongo Steven Charles Kanumba, 'Kanumba The Great', Elizabeth Michael 'Lulu', akisindikizwa na Askali Magereza tayari kwa kupandishwa Kizimbani kwa maranyingini ili kutajwa na kusomewa mashitaka juu ya kesi inayomkabili ingawa kwa mujibu wa wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda, kesi hiyo imesogezwa mbele kwa madai ya upelelezi kutokamilika hivyo kuahirishwa tena mpaka Mei 7 mwaka huu itakapotajwa upya.
No comments:
Post a Comment