INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Monday, April 16, 2012

BONGO MOVIE WAMSAPOTI SAJUKI NA MKEWE KATIKA AROBAIN YA MTOTO WAO

 Wasanii wa Bongo Movie walitoa kampani ya kutosha katika shughuli hiyo ya mtoto wa Sajuki na Wastara.Kama kawaida ya umoja huo wa Wasanii walitoa chochote kwa mtoto huyo katika kuonyesha kwamba Bongo Movie wapo pamoja na Wasanii hao na kuwaombea kwa mungu wazidi kubarikiwa zaidi katika maisha yao.

 Irene Uwoya akipiga picha na mtoto

 Rachel akipiga picha na mtoto huyo

 Tukiwa na Mama mtoto Wastara,kushoto kabisa ni Dada Erieth,cathy na mimi mwenyewe

 Nikiwa nimembeba mtoto,pembeni ni baba mtoto Sajuki

 Tukiwa na Sajuki

 Picha ya pamoja tukiwa na Baba mtoto na Mama mtoto nyumbani kwao Tabata

 Wasanii wa Bongo Movie

 Nteze naye hakuwa nyuma

Nikiwa na Dr Cheni na Mama Erieth

No comments:

Post a Comment