Msanii mwenzetu Sajuki bado yupo nyumbani akiendelea kupata tiba kama alivyoelekezwa na madaktari wake.Nikiwa nyumbani kwake Tabata nilijaribu kuongea nae akaniambia kwa sasa anaendelea vizuri ila tuzidi kumuombea arudi kwenye game.Sajuki ni mmoja kati ya wasanii niliotoka nao mbali sana hasa katika movie zetu za mwanzo mwanzo.Nakuombea kwa mungu upone haraka urudi katika game tuendelea kupigana
Nikiwa nyumbani kwake sajuki Tabata
Sajuki akiongea nasi
No comments:
Post a Comment