AROBAINI YA MTOTO WA MSANII MAMA HIDAYA NJAIDI, KIMARA
Msanii Mama Hidaya Njaidi maarufu kwa kuigiza kama Mama na vile vile Mc maarufu jijin Dsm,Siku ya jana amemtoa mtoto wake nje kwa kutimiza siku arobaini na kumfanyia party kubwa nyumbani kwake Kimara.Watu mbalimbali wakiwemo wasanii wa Bongo Movie walihudhuria sherehe hiyo kubwa nyumbani kwa msanii huyo.Watu walikunywa na kula vya kutosha,zawadi mbalimbali za mtoto zikiwemo fedha zilitolewa ndani ya party hiyo
Kupa akimbeba mtoto
Nteze akiwa na mtoto
Dada Erieth na Zamaradi wakiwa wamemshika mtoto
Nikiwa na Rachel na kababy
Mama Njaidi akiwa na mdogo wa mumewe Othuman Njaidi maarufu OJ nadhani wengi mnamjua
Mambo ya kutunzana hayo,Mc Chichi akimtunza dada yake
Pesa position hizo
Kamanda akiwa na Mc Chichi
Jackline wolper katika pozi
Tukiwa na Mama Njaidi
Mambo ya Twaarabu hayo
Mc Chichi akiwa na Mama Njaidi
Jackline Wolper akitunza
Jamani furaha gani hii
Eheee lete maneno,hiki kiduku au?
Mapozi lazima yawepo jamani
Nitunze mdogo wangu mie
Wolper akitoa nasaha kidogo
Mkono wa pongezi
Maswala mazima ya maakuli hayakukosekana
Kama kawaida yake kijana
Nteze akipata menuss
No comments:
Post a Comment