Siku
ya Jumapili 15/03/2015 Mkurugenzi wa J-Filmaliweza kukaa na Team Odama 4
Life na kuweza kuwapongeza kwa kazi waliyofanya ya kuitangaza filamu
mpya ya JADA, ambayo kwa hakika inafanya vizuri sana katika ulimwengu wa
filamu Tanzania. Kwa muda mfupi JADA imepokelewa na watu wengi, na hii
ni kutokana na juhudi za timu ya Odama ambayo imeamua kumuunga mwigizaji
huyu ambaye aekubalika na jamii ya Kitanzania kwa kutokuwa na skendo na
ni mwigizaji anayeigiza vizuri sana.
Odama
aliweza kutoa Tshirts zilizotengezwa na Rumafrica (+266 715 851 523)
zente ujumbe TEAM ODAMA 4 LIFE, na pia waliza kukaa kwa pamoja kwa
upendo na kuweza kunywa na kula. Baada ya kumaliza zoezi la chakula na
vinywaji kilifuata kipindi cha wadau hawa kutoa hisia zao kwa mkurugenzi
wao Odama na kumuuliza baadhi ya maswali. Odama aliweza kuyajibu
maswali yote na kuweza kuwashukuru Teama Odama 4 Life kwa kazi yao nzuri
na pia aliwashukuru wadau wote ambao waliweza kujua mengi kwa kupitia
Team Odama 4 Life au kwa njia yoyote ile kama TV, redio, magazeti,
mitandao mbalimbali
Rulea Sanga (kushoto) na Jeniffer Kyaka (Odama)
Hii ndiyo Team Odama 4 Life
Team Odama 4 Life
KPINDI CHA KUPATA CHAKULIA
Rulea Sanga (kushoto)
Odama
Rulea Sanga (kushoto)
Rulea Sanga (kushoto)
Issa
KIPINDI CHA KUJADILI MASWALA YA TEAM ODAMA 4 LIFE
Odama na Issa
Rulea Sanga(wa pili kutoka kushoto) akichangia maada katika kikao cha Team Odama 4 Life
Rulea Sanga(wa pili kutoka kushoto) akichangia maada katika kikao cha Team Odama 4 Life
Rulea Sanga(wa pili kutoka kulia) akichangia maada katika kikao cha Team Odama 4 Life
Rulea Sanga(wa pili kutoka kulia) akichangia maada katika kikao cha Team Odama 4 Life
Odama na Issa (kulia)
Odama na Issa (kulia)
No comments:
Post a Comment