INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Wednesday, March 11, 2015

WEMA, HEMED KUTOA ‘MAPENZI YAMEROGWA’ KARIBUNI






Waigizaji Wema, Hemed, Neema na wengine wakiwa katika harakati za kurekodi filamu hiyo.

MWIGIZAJI Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na mtanashati wa Bongo Movies, Hemed Suleiman ‘PhD’ wamekutana katika kushuti muvi moja inayokwenda kwa jina la ‘MAPENZI YAMEROGWA’, kazi ambayo inaendelea kwa umakini katika maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Wema, filamu hiyo ambayo pamoja na waigizaji wengine, imemshirikisha pia mwigizaji maarufu, Neema, itaonyesha ni jinsi gani mapenzi yanavyowachanganya wahusika.

(HABARI/PICHA: IMELDA MTEMA/GPL)

No comments:

Post a Comment