Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko
MSANII nyota wa filamu, Coretha Raymond Koletha amesema anajivunia mafanikio yake kimaisha, ikiwemo kumiliki pub na nyumba, licha kwamba haijamalizika kujengwa.
Msanii nyota wa filamu, Coretha Raymond.
Sina budi kujivunia mafanikio niliyonayo kutokana na shughuli zangu za sanaa, naishi vizuri hapa mjini, kilichonifikisha hapa ni malengo tu, maana wengine wanaambulia patupu kwa kuendekeza starehe, licha ya hivyo pia nina duka la nguo linalonipatia kipato, alisema msanii huyo.
Alisema katika kukabiliana na changamoto mbalimbali za kimaisha, alilazimika kuuza gari lake ili kuweka mambo yake sawa, lakini anamshukuru Mungu kwa vile mipango inakwenda kama alivyopanga.

No comments:
Post a Comment