Mwimbaji
maarufu sana wa nyimbo za Injili Tanzania aliweza kushusha wingu la
uwepo wa Mungu katika zoezi la kuzindua filamu ya dini ambapo WASANII wa
filamu nchini, Peter Luse, Mzee Magali na Stanley Msungu
walizindua filamu ya dini inayotambulika kwa jina la Behind The
Pastors.
Peter Luse, Edson Masabwite na Mzee Magali wakicheza muziki.
Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Princess Hall,
Sinza-Mapambano, jijini Dar, ambapo mtunzi wa filamu hiyo alisema
madhumuni ya kuandaa filamu hiyo ni kubainisha changamoto wanazokutana
nazo watumishi wa Mungu kama visa, ugomvi wa madhabahuni na ushirikina.
Baadhi ya watu waliohudhuria uzinduzi huo.
Mzee Magali akicheza muziki na mashabiki wake.
Bendi ya muziki wa injili kutoka katika kanisa la Nchi ya Ahadi ikitumbuiza.
Mtunzi wa filamu ya Behind The Pastors, Peter Luse akiongelea changamoto za filamu hiyo.
Stanley Msungu akizundua rasmi filamu kwa waalikwa.

No comments:
Post a Comment