INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Saturday, February 14, 2015

WATANGAZAJI WA EFM RADIO WAJIACHIA


Team Nzima ambayo inaongoza kipindi cha ya sports headquaters ambacho kinaruka kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu mpaka saa sita mchana (Kweli wamechizika).

RDJ X5 kutoka EFM akiwa na mchizi wake Kingwendu.

Mtayarishaji hatari wa hapa EFM, JimmyJam (kushoto) akiwa na mchizi wake Jo-Gift.

Kala Pina (kushoto) akiweka pozi la nguvu na mchizi wake Swebe.Unaweza kumsikiliza Swebe katika kipindi cha Gurudumu ambacho kinarushwa kila siku Jumatatu mpaka Ijumaa Saa Sita mchana mpaka saa Tisa,akiwa na mwanadada Safia, Manganje pamoja na RDJ X5.

Meneja Uhusiano wa EFM, Kanky Mwaigomole akiwa na mchizi wake Samira Kiango.Samira ni mhariri msaidizi katika chumba cha habari cha EFM Redio na pia ni mtangazaji wa habari.

Scholastica Mazula akiwa na mchizi wake Brighton.Scholastica ni mhariri mkuu wa chumba cha habari cha EFM redio na pia ni muongozaji wa kIpindi cha Mezani kinachorushwa kila siku ya Jumamosi saa mbili asubuhi mpaka saa nne.

Francis Mhando ni mmoja wa watangazaji wa kipindi cha Sports Headquaters akiwang'ara na machizi wake kutoka Canada.

No comments:

Post a Comment