INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Tuesday, April 14, 2015

PICHA ZA HAPPY BIRTHDAY YA MTOTO WA JENNIFER KYAKA (ODAMA) AITWAE JASON

Msanii wa fialmau Tanzania Jennifer Kyaka (Odama) aliweza kufanya party ya kusherekea siku ya kuzaliwa ya mwanae Jason ambaye alikuwa anatimiza mwaka mmoja. Party hii ilifanyika katika ukumbi wa Jeshi ulioko Mikocheni kandokando ya bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.

Rumafrica ilikuwa pale kwaajili ya kupiga picha hizi unazoziona ili wewe uweze kujua kilichoajili siku hiyo ya Alhamisi 09/04/2015 mida ya saa mbili usiku na kuamalizika saa sita usiku

Party hii ilihudhuriwa na wasanii wengi sana wa Bongo Fleva na Bongo Muvi, baadhi yao ni kama Davina, Thea, Shilole na Muziwanda, Faridi, Lamata, Issa, Abdul, Malick, Kurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga, Sandra, Kajala na mwanae, Rhoda, mdogo wake Kajala, Cathy, wadau wa Odama na wengine wengi kama utakavyowaona katika picha hapo chini.

Odama aliwashukuru wale wote waliofika na aliweza kutambulisha kampuni yake mpya ya J-Son Production mbali na ile iliyozoeleka ya J-FILM 4 LIFE. Aliwaomba wadau na wasanii wenzake kumuunga mkono ili aweze kutimiza ndoto zake.
Msanii wa filamu Jennifer Kyaka (Odama) na mwanamke anayejituma katika biashara mbalimbali, ambapo hii karibuni ameweza kufungua kampuni mpya ya J-Son Production, mpaka sasa ana kampuni mbili yaani ya J-Film 4 Life na J-Son Production
.
Odama na mwanae Jason

Siku ya alhamisi 9/04/2015 aliweza kufanya party kwaajili ya kusherekea siku ya kuzaliwa mwanae ambapo ameweza kutimiza mwaka mmoja. party hii ilifanyika Mikocheni Dar es Salaam katika ukumbi wa Jeshi ilioko kandokando ya bahari ya Hindi.
Party hii ilihudhuriwa na wasanii wengi sana wa Bongo Fleva na Bongo Muvi, baadhi yao ni kama Davina, Thea, Shilole na Muziwanda, Faridi, Lamata, Issa, Abdul, Malick, Rulea Sanga wa Rumafrica, Sandra, Kajala na mwanae, Rhoda, mdogo wake Kajala, Cathy, wadau wa Odama na wengine wengi kama utakavyowaona katika picha hapo chini.
kutoka kulia ni Kajala, Rulea Sanga na Shilole

KIPINDI CHA SHAMPENI
Kutoka kushoto ni mama yake Odama, mdogo wake Odama na rafiki yake na mdogo wake Odama
Mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga (kushoto) na mdau wa Odama
 Kushoto ni Sandra na kulia ni Cathy
Rulea Sanga wa Rumafrica
 Davina wa nne kutoka kushoto
Rulea Sanga na mmoja wa wadau wa Odama
 Kushoto ni mdogo wake na Kajala akiwa na Rhoda rafiki yake wa karibu na Odama
Kutoka kushoto ni Kajala, Rulea Sanga na Shilole

KIPINDI CHA KEKI
 Jason special cake
Rulea Sanga
Malick (kulia) na Rulea Sanga wa Rumafrica
 Rhoda (kulia)
 Malick akishuti
Rulea (kulia)
 Mtaalamu kwa kuedit-Big (kushoto)
Tshirts na Logo (nembo) zimetengezwa na Rumafrica
Mdau wa Odama
Rulea (kushoto) na Malick
 
Malick (kulia) na Rulea Sanga
 Kutoka kulia Thea, Davina na Cathy

KIPINDI CHA ODAMA KUMTEMBEZA JASON NA KUWASHUKURU KILA MMOJA MEZANI KWAKE

 Mdau mkubwa wa wasanii wa Bongo muvi (kulia)

 Malick
 Odama akiwa Big
 Mzee wa kusambaza habari za Odama mitandao.Mtu muhimu sana huyu katika kampuni ya J- Son Production na J-Film 4 Life

 Director wa muvi za Odama, Lamata (kulia)

 Ndugu zake Odama, kulia ni dada mkubwa, mtoto wa dadaake mkubwa, mdogo wake wa mwisho wa Odama
 Rhoda
 MC Teze
 
 Rulea na Davina
 Camera man Farid
Rulea na Davina
 Davina (kushoto) na Thea
Rulea na Davina (kulia)
 Mdau wa Bongo Muvi anayeheshimika na wasanii wengi kwa utoaji
Rulea na Davina (kulia)

KIPINDI CHA KUTOA ZAWADI KWA JASON
Wasanii wa Bongo Muvi
 Director wa Bongo Muvi, Lamata

 Ndugu na jamaa wa Odama
 Mziwanda (kulia)
 Shilole (kulia) na Kajala
xx
 Shilole (kushoto) na mdogo wake Kajala Kajala akitoa zawadi
 Kajala na mwanae

 Odama na mdogo wake wa mwisho

 
Davina (kushoto) na mdau


 xxx

 Odama (kulia) na Davina)


 
Odama (kulia) na Director wake Lamata
Rulea (kushoto) na camera man Malick

KIPINDI CHA KUPATA CHAKULA
 Abdul (kulia) na Issa


  Kutoka kushoto ni Davina, Cathy na Sandra
 kutoka kushoto ni mdogo wakee Kajala, Msanii wa Bongo Fleva Klaka na Davina


 Shilole (kulia)
 Shilole na mpenzi wake Mziwanda
  Shilole na mpenzi wake Mziwanda
 kutoka kushoto ni mtoto wa Kajala na Farid
 Abdul (kushoto) na Malick
 Dada mkubwa wa Odama (kushoto)
 Mama mzazi wa Odama (kushoto)
 Thea Rulea Sanga wa pili kutoka kushoto akipakuliwa msosi

KIPINDI CHA KUTOKELEZEA KWENYE KAMERA

 Shilole (kushoto) na Odama
 Shilole na Odama (kulia)
MC Teze (kulia) na Odama

 Dada yake Odama mkubwa akiwa na mume wake
 Malick (kushoto) na BigKIPINDI CHA KUTUMBUIZA KILIWADIA
 MC Teze (kushoto) akifloo


 Farid akiflooo
 Kutoka kulia ni Shilole, Rulea Sanga na Mziwanda
 KIPINDI CHA KUFUNGA PARTYNo comments:

Post a Comment

There was an error in this gadget