INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Friday, August 21, 2015

Wizi Wa Kazi Za Wasanii Utaendelea Nchini Kwa Kuwa Hakuna Sheria: Ernest Napoleon

MSHINDI wa tuzo ya East Afrika kupitia filamu yake ya ‘Going Bongo’, Ernest Napoleon, ameweka wazi kwamba haiwezekani kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa kuwa hatuna sheria ya kufanya hivyo.
Napoleon alisema kuzuia uharamia wa kazi za wasanii kwa Tanzania itaendelea kuleta vilio kwa wasanii wake hadi mifumo itakaporekebishwa na sheria zikatungwa.

Sijaona Msanii Wa Filamu Wa Kushindana Nae Nchini: Gabo Zigamba

Msanii wa filamu aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Salim Ahmed maarufu kwa jina la Gabo amesema haoni msanii anayempa changamato.
Akizungumza kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV, Gabo alisema wengi wamekuwa wakimwambia anaringa kutokana na kuwaambia ukweli.

Wednesday, August 19, 2015

Irene Uwoya Apongezwa Baada ya Kupeta Ubunge Viti Maalum.

MWIGIZAJI wa filamu ambaye jina lake limepitishwa nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Tabora kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Irene Uwoya, amesema malezi aliyopewa na wazazi wake ndiyo yatakayomsaidia kuwa kiongozi bora.

Lulu Avamiwa Nyumbani Na Wezi.


BAD news! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.

Picha Za Mastaa Mbalimbali Toka Kinondoni Talent Search 2015 Grand Finale.

Weekend ilopita ilikuwa final za Kinondoni Talent Search, Mastaa kibao walimiminika kushuhudia live final hizo. Hizi hapa ni baadhi ya Picha za mastaa waliohudhuria.............

Wednesday, August 12, 2015

Wema Sepetu Na Steve Nyerere Wapewa Deal Nono Na Rais Kikwete?

Wema Sepetu na Steve Nyerer ni wasanii ambao walikatwa kura za moni ya ubunge lakini wanaonekana kuramba deal kutoka kwa Rais Kikwete. Wema ameweka picha instagram na kuandika

"Wakati nyie mnaongea upuuzi... Yangu yaninyookea..... Alhamdulillah... Wa moja havai mbili... Abadan asilan.... Earlier today... Ikulu... Dodoma... Thank u Mr.President."

Tuesday, August 4, 2015

Irene Uwoya Ang'ara Ubunge Viti Maalum Mkoani Tabora.

Star wa filamu nchini Irene Uwoya ameng'ara katika kinyang'anyiro cha kura za maoni ubunge viti maalum mkoani Tabora. Uwoya alipata kura 34 kati ya 39n zilizopigwa. Kwa upande mwingine msanii Steve Nyerere ambaye alikuwa pia akiwania kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CCM alishindwa kutamba katika kura za maoni.

HIzi Ndio Huduma Zinazotolewa na J-Son Production.

J-Son Production Tumekufikia Wewe Mteja Wetu Kwa Shughuli Zifuatazo.
Tunapiga Picha Na Video Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwenye Matukio Kama Yafuatayo
Harusi, Kitchen Party, Send Off, Kipaimara, Ubatizo, Documentary Na Shuhuli Nyingine Mbali Mbali…
Tunasafisha Picha Kutoka Kwenye Simu, Camera Na Device Yoyote Ile Kwa Haraka Kwa Bei Nafuu.
Graphics Design: Logo, Business Cards, Head Letter, Banner e.t.c
All Digital Printing, Documents e.t.c

Karibuni: Tupo Kinondoni Biafra, Block 41 – Bi Husna Street

Kwa Mawasiliano 0715 22 00 35 | 0767 77 77 75

There was an error in this gadget