INSIDE INAPATIKANA MADUKANI

FILAMU YA JADA ITAKUWA SOKONI 19.02.2015

JADA IPO SOKONI

JADA IPO SOKONI

Sunday, December 30, 2012

J-FILM 4 LIFE YATOA KALENDA YA 2013....!!!!

Kampuni ya "J-Film 4 Life imetoa  kalenda za 2013 ambazo ni zawadi kwa wadau wote wa filamu za Kitanzania. Kampuni inatoa shukrani za dhati kwa watu wote waliounga mkono kazi zilizofanyika kwa mwaka mzima wa 2012. Tunaomba support yenu kwa mwaka 2013 ili kuboresha zaidi kazi  zetu......!!!!

KALENDA YA KWANZA.....


KALENDA YA PILI......

Ukurasa wa mbele....
Ukurasa wa 2....
Ukurasa wa 3....
Ukurasa wa 4....
Ukurasa wa 5....
Ukurasa wa 6...
Ukurasa wa 7.....


Saturday, December 22, 2012

ARUSHA TRIP.....!!!!!Siku tatu zilizopita Bongo Movie Unit ilifanya ziara Jijini Arusha kwa ajili ya Semina ya kujenga mahusiano mazuri kati ya Bongo Movie Unit pamoja na Arusha Movie, Hii yote nikuonyesha ushirikaono na watengenezaji Movie wa Majiji mengine, licha ya tukio ilo tulicheza mechi kati yetu na Arusha Movie wacha tucheki mambo yalivyokuwa ndani ya Jiji la Arusha..

Tukiwa ndani ya safari kuelekea Jijini Arusha..

Jimmy kapteni na Tino...

Tukipata chakula pamoja na vinywaji maeneo ya Korongwe.

Rahim na Muba...

Rado wa kwanza kushoto akiwa na Messi wa Bongo..

Tukiwa tumeshaingia katika Jiji la Arusha, Katibu Mkuu wa Bongo Movie Unit bwana Salum Choma akiwa katika pozi la mbwembwe.

Ulifika muda wa mechi na hapa tukipata maelekezo ya timu meneja ambaye ni Single Mtambalike.

Marefa wakijiandaa kwa mpambano..

  Team Captains wa timu zote mbili wakiongoza Jahazi.

Tukifanya mazoezi madogo madogo..

Mstari wa pamoja kwa ajili ya timu zote mbili kukaguliwa..

The Greatest akifanya utambulisho kwa wachezaji wenzake.....

Hapa akimtambulisha Rado au Baba Marge..

Timu Meneja Single Mtambalike bila kukosa..

Odama na Cathy wadada wa Bongo Movie.

Mpambano ukikaribia kuanza

Maya na Rachel maua ya Bongo Movie..

Mpaka half time mambo yalikuwa ni 0 kwa 0.

Chiki Mchoma...

Rachel Haule na Jack Wolper...

Haji Magori aliweza kutupatia gori la kwanza kabla ya kipindi cha pili kuisha..

Madada wa Bongo Movie hawakuwa nyuma kwenye kushangilia.....

Katibu Chiki na Mwenyekiti Mstahafu JB wakifurahia ushindi....

Mechi iliweza kuisha Bongo Movie wakitoka kimasomaso kwa ushindi wa bao 1-0.Wageni rasmi wakijiandaa kwa kutoa Tunzo.

Timu pinzani walizawadia mpira..

Tulivishwa Medari na mgeni rasmi....

Taratibu zikiendelea..

Choppa...

Tukishangilia ushindi..

Tulipata picha ya pamoja..

Thursday, December 6, 2012

LAMATA AMTOA CHOZI LA FURAHA WOLPER......!!!!!!

 
Leah (Lamata)........
  Me & my young sis (Joan) njiani kuelekea kwenye tukio.......
  Jackline Wolper akiwa haamini baada ya kuitwa eneo la tukio na kukuta ndugu, jamaa na marafiki wakimsubiri kwa kufurahia siku hiyo maalum kwake kwa pamoja.......
 Odama nikiwa na Dyness......!!!
 Upcoming movie star Slim Mrisho & I.......
 Waalikwa katika pozi.....
 Wolper & The best cameraman in TZ (Farid Uwezo) wakishow love.....
 Director Adam Kuambiana & Actress Odama...!!!
 Hii ndiyo Wolper family,,, Mdogo wa Wolper tayari kumlisha cake dada yake....!!!!
 Two Dudes, Yusuf Mlela & Music Producer Tuddy Thomas.....
 Zao la kidedea,,, Anitha naye hakukosekana katika hafla fupi hiyo ya kipekee....!!!
 Msanii anayefanya vizuri katika industry ya movie TZ mama Kawele (Grace Mapunda) katika smiling faces pamoja na Jack.......
 Movie Editor Issa Nteze akila cake....!!!!
 Enjoying the cake.,...!!!!!
 Me & Mlela....!!!!
 Mtoto akilishwa cake!!!!
 I, Bajomba & Barafu.......
 Chef akifanya mambo yake.....!!!!
 Wakati wa msosi uliwadia...!!!
 Me & a close friend of mine Amrick.......!!!!!
 Movie Divas,,,,,,,,, Jennifer Kyaka alongside Jackline Wolper....!!!!!
 J-Film 4 Life Crew, Producer & Actress (Odama) pamoja na Director (Lamata)
 Joseph Wolper......!!!!!
 Nikiwa na fan wangu from Kigoma.....!!!!!